mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafuta ya kutunza, kukuza ndevu kwa bei poa

    Kwa muonekano mzuri wa ndevu zako tumia mafuta haya hujaza ndevu,huzipa ndevu mng’aro ,kuzuia muwasho,,kuzuia vipele na kuafanya ndevu zichanike kirahisi.. Suffer from a dry and brittle beard ? , we crafted a simple beard care routine to get your beard moisturized, soft,shining and promotes...
  2. Jinsi ya kuifanya gari yako itumie mafuta vizuri zaidi kuliko ulivyozoea

    Habari Wakuu. Leo nataka tuangalie mambo machache ambayo kila mwenye gari anaweza kuyafanya mwenyewe(DIY) ili kuhakikisha gari yake inatumia mafuta vizuri na hivyo kumpunguzia gharama. Yafuatayo ni mambo ambayo kama ukiyafuata gari yako itatumia mafuta vizuri lakini pia italifanya gari lako...
  3. N

    Hivi ilikuwaje wafanyabiashara kupandisha bei ya mafuta kinyemela bila kutangaziwa bei elekezi na UWURA

    Mara ya mwisho bei za mafuta zilipanda tu bila kuwepo kwa bei elekezi, mwenye taarifa kama utaratibu umebadilika tunaomba atujuze, tafadhali...
  4. Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

    Sana JF. Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji mzima hakuna mafuta. Bagamoyo road yote karibu Sheri nyingi zimegoma kuleta mafuta. Watanzania wengi...
  5. EWURA yashindwa kuthibiti wafanyabiashara ya Mafuta, ni siku ya tatu vituo vingi vimefungwa, wengine wapandisha bila tangazo la bei

    Wana JF Ni siku ya tatu mfululizo barabara ya dar bagamoyo vituo vingi havina mafuta. Hatuwezi kujua kama yamekwisha au yamefichwa kusubiri bei mpya. Kituo cha Bunju mianzini Lake Oil hicho kilifungwa jumamosi. Ninavyojua haiwezekani mafuta ya aina zote yakaisha siku moja, lazima...
  6. Kesi ya Tundu Lissu: Serikali yawawekea ngumu Wadhamini kujiondoa

    Serikali imeamua kula matapishi yake baada ya leo kubadili msimamo wake kumkamata Tundu Lissu atakaporejea nchini. Katika mahakama ya Kisutu, Serikali kupitia wakili wake mwandamizi, Simon Wankyo imeieleza mahakama itupilie mbali maombi ya wadhamini wake, Robert Katula na Ibrahim Ahmed...
  7. Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  8. D

    Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  9. Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali Mlandizi, mmoja afariki

    Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali katika eneo la Mlandizi mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo Julai 2, na kupelekea kifo cha mtu mmoja na majeruhi watatu, abiria wanaotokea Dar es Salaam wameshauriwa kutumia barabara ya Bagamoyo. Akifafanua zaidi kuhusu tukio hili...
  10. Kyela mafuta hakuna wiki tatu sasa

    Wakuu heshima kwenu, Nasikitika kuwatangazia kuwa, eneo la Kyela halina mafuta kwa wiki ya tatu sasa. Inasemekana depo ya kutunzia mafuta huko Dar es Salaam wauzaji mafuta wamegoma kuaupply mafuta sheli ndogo za mikoani. Kinachoshangaza Ni kuwa sheli za eneo la boda na Tukuyu hata mbeya jiji...
  11. J

    Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

    Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara. Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake. Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini...
  12. Katoro Geita, yapata uhaba wa mafuta

    Siku ya nne leo tangu vituo vya kuuzia mafuta ya vyombo vya usafiri kufungwa mafuta yamekuwa adimu kulingana na mahitaji. Vituo hivyo vilifungwa kukiwa na tetesi za uchakachuaji wa vipimo. Adha tunazopata. Foleni kubwa kwa baadhi ya vinavyofanya kazi. Kupangiwa kiasi cha mafuta Pikipiki...
  13. Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imevifutia leseni za uuzaji wa mafuta vituo vitano, kwa makosa ya kuficha, kutouza na kuuza mafuta juu ya bei elekezi huku ikotoa onyo kali kwa wauzaji wa nishati hiyo wanaojaribu kufanya hujuma na kukiuka maagizo ya Serikali. Akizungumza...
  14. Nchi haina hata mafuta watu mnashangilia

    Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta. leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji...
  15. Mafuta yaanza kuadimika, vituo vingi havina mafuta bei yafika 3000 huko ifakara, igunga, morogoro vijijini

    Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu. Ewura saidia please.
  16. Kilombero: Mafuta ya Petrol na dizel yapotea

    Mafuta ya petrol na dizel yapotea kilombero siku ya nne sasa hadi ifakara. Walanguzi watulangua shs 3,000/ kwa lita ya chupa za barabarani. Ewura please lioneni tatizo hili .
  17. Mafuta ya kukoleza weusi wa nywele

    Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku . Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali. Nywele hazina uweusi mzuri, napata shida kidogo kwenye suala zima la utanashati . Kwa sasa natumia...
  18. K

    Tunaiomba Serikali itupie macho vituo vya mafuta hapa nchini

    Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta. Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
  19. F

    Bodi ya Maziwa kuharibu maziwa ya ng'ombe kwa kuyamwagia mafuta ya taa

    ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili...
  20. Faida za Mafuta ya Mkaratusi

    Mkaratusi ni mti wenye harufu nzuri na unapatikana kila sehemu duniani. Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye majani yake na kuweza kutumika kama tiba Hutuliza kikohozi. Hii ni kwa kujichua kwa mafuta kwenye kifua na koo kuondoa dalili zote za kikohozi. Husafisha kifua, kwa vifua vya kubana na kamasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…