mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Kwako Rais wetu na mama yetu, Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele. Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
  2. J

    Kwa mnaoishi mpakani, mafuta ya kula yamepanda kama yalivyopanda Tanzania? mbona hakuna malalamiko kama sukari inavyopanda?

    Aisee mafuta ya kula yanapanda kila siku, sababu iliyotolewa na Serikali ni kuwa Corona ndio imesababisha watu wa huko tunakoagiza haya mafuta kutofanya uzalishaji na kupelekea mafuta kutokuwa ya kutosha na hivyo kupanda. Yaani dumu lalita 3 ya mafuta ambalo nilikuwa nanunua 13,000 sasa hivi...
  3. T

    Watanzania tuwe wavumilivu, hili la kupanda bei vifurushi tutavumilia pia

    Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu...
  4. N

    Kuongezeka kwa ujenzi wa vituo vya mafuta DSM

    Habari Watz, Kuna jambo ambalo Mimi naliona toka tumalize uchaguzi wa 2020 linatokea kila kukicha nikipita barabarani ambalo hatukulizoea kwa kipindi hiki Cha Hayati. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya mafuta hasa Bagamoyo Road kuanzia maeneo ya Tegeta hadi Bagamoyo ilihali...
  5. H

    Barua ya wazi kwa Wizara ya Nishati: Nashauri uandaaji wa rasilimali watu ya mafuta na gesi usimamishwe

    Poleni na majukumu yote hapo wizarani. Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu. Nao ni, Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo. Idadi...
  6. J

    Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

    Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo. Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu. Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea. Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa...
  7. Utapeli wazidi Nigeria, wenye magari wauziwa maji badala ya mafuta sheli

    Nawasalimu members wote, Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin. Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
  8. Msaada mafuta ya kupikia/Alizeti Kwa jumla tokea Singida/popote

    Hello JF Members, Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar. Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada. PM ipo wazi,
  9. Tufanye nini ili mafuta ya kula yashuke bei? Je, wanyonge wataweza bei ya 7000 kwa lita?

    Mimi huwa nanunua mafuta ya kula ya alizeti mashineni kuepuka uchakachuaji, siku ya leo nimeambiwa lita 1 ya mafuta ni sh 7,000 sijui tunaelekea wapi na tufanye nini, wengi tunaokwepa colesterol kutoka kwenye mafuta ya Safi. Sasa tumepatikana safari hii. Mwenye uwezo mdogo sana na wa chini sana...
  10. E

    Mtu akikamatwa akizoa mafuta kwenye lori la mafuta lililopata ajali afungwe kifungo cha maisha jela

    Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali. Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali. Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
  11. Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

    Hii hapa
  12. Je, CC za engine pekee ndio zinaamua ulaji wa mafuta wa gari?

    Kuna baadhi ya watu huyakataa magari kwa kuangalia Cc za engine(Engine capacity). Lakini huenda kuna watu wameacha magari mazuri kwa sababu ya kigezo hiki. Hebu tuangalie baadhi ya mambo mengine ambayo yanaweza kuchangia ulaji wa mafuta kwenye gari. 1. Aina ya gearbox iliyotumika Aina ya...
  13. Watanzania twendeni Congo tukawekeze Sekta ya Usafiri wa majini na mafuta

    Kila msaka fursa angalia hii clip uone mwenyewe fursa zilipo za biashara ya usafiri wa majini na mafuta Congo. Hizo baadhi tu lakini ukitizama hii Clip waweza gundua nyingi zaidi.
  14. Lindi: Watumia mafuta ya Mil 7 kwa siku 4 na kununua pikipiki 2 kwa mil 11

    Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
  15. Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

    Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy. Gari ambayo naweza enda...
  16. B

    Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha mafuta

    Nahitaji kujua kama kuna mwenye anaifahamu anifahamishe
  17. Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Habari za majukumu wanajamii, Habari hii ni kupata uzoefu zaidi, kutahadharishana na kuwekana sawa wakati huu mgumu wa uchumi wa kati. Nimekutana na matukio mawili kwa nyakati tofauti ya kuibiwa na wahudumu wanaotoa huduma ya kuweka mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha TOTAL kilichopo...
  18. Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  19. K

    Bei ya mafuta ya kupikia inawaondoa mamalishe barabarani, Serikali ichukue hatua za haraka

    Familia nyingi hapa nchini inawategemea akina mama katika maisha yao ya kila siku. Mara nyingi mamalishe wamekuwa wakipika chapati, vitumbua, maandazi n.k kwa ajili ya kupata fedha ya kulisha familia zao. Ni ukweli usiopingika kuwa athari ya kupanda kwa mafuta ya kupikia imewatoa barabarani...
  20. INAUZWA Mafuta ya alizeti kutoka Singida

    Karibu Empire singida fresh oil Mafuta halisi kutoka singida Lita 1 -6000 Lita 3- 18000 Lita 5- 25000 Mawasiliano 0743725255 0655031983 arnoldmacha@outlook.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…