mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

    Akiwa anamalizia siku ya pili ya ziara yake Mkoani Morogoro Rais Samia ametoa ufafanuzi juu ya ongezeko la bei ya mafuta ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi mitandaoni Katika hili Rais Samia amesema “Tumeongeza fedha kidogo kwenye mafuta, mtakuwa mmesikia kelele za mafuta. Tumeongeza shilingi...
  2. Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  3. Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

    Kwema Wakuu, Hivi Karibuni bei ya Mafuta imepanda kwa Takriban TZS 100 kwa lita kulinganisha na bei iliyokuwepo awali. Wengi wamejiuliza kwanini Mafuta haya yanauzwa Rahisi nchi za jirani kama Zambia wakati yanapita hapa hapa kwetu hivyo katika nchi hizo yangekua bei ghali zaidi. Hapa chini...
  4. Kuchakata mafuta ghafi/petroleum - TANZANIA

    Wakati nikiwa mdogo kulikuwa na kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi Kigamboni (Kama sijakosea). Nafikiri Mwalimu Nyerere alijua kuwa tukinunua mafuta ghafi, bei itakuwa nafuu sana lakini pia tutabakiwa na end products nyingine kama lami nk ambazo tunazihitaji sana, lakini bado kuna faida za...
  5. Bei ya Mafuta na Mfumuko wa bei, tumejipangaje?

    Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
  6. K

    Nairudisha Bandari ya Bagamoyo ukumbini, nikiiunganisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Hoima hadi Tanga, ni "Joint Venture", na tumekwishashuhudia hatua zote zinazohusika na mradi huo zinavyoandaliwa na kupata maelezo namna mradi utakavyotekelezwa. Haya mambo kwa sehemu kikubwa yamewekwa wazi, na hatujashuhudia kelele nyingi zikipigwa toka kwenye...
  7. L

    Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka 2.3M mpaka 2.9M. Kiwango kitawafanya Wafanya Biashara kununua kwa bei ya chini kutoka kwa Wakulima ili...
  8. Ongezeko la kodi ya Mafuta ni kuwalipa fadhila "Wakubwa" wanaomiliki hisa/makampuni/vituo vya Mafuta?

    Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
  9. Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Nawasalimu nyote. Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri. Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi. Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania. Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
  10. Mnashusha ushuru wa betting na pombe mnaongeza ushuru wa mafuta!

    Mnataka baba zetu waendelee kubet sio? Wahamie kabisa na mashuka na magodoro? Hii nchi hii yaani kuna mtu yuko bungeni kimkakati kuhakikisha betting hata inafutiwa ushuru, mwingine yeye ahakikishe pombeee pombeee zinakaa pazuri shida za wananchi na kero zao acha wafie mbali. Aiseee we are finished
  11. Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  12. EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

    Bei mpya ya mafuta imetoka. Imepanda tena miezi minne mfululizo. Petrol hapa Dar 2405, diesel 2215. Kuna mikoa petrol inafika 2600/-. Tutaheshimiana tu barabarani. #KaziIendelee == Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza ongezeko la bei za mafuta zitakazoanza Julai...
  13. H

    Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti

    Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
  14. Inawezekana kupaka rangi ya maji juu ya rangi ya mafuta

    Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki. Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya...
  15. D

    Kazi ya mafuta ya transfoma

    Habari waungwana.Niende ktk hoja hapo kipindi cha nyuma nilikuwa nikiona transfoma zilizoharibiwa kutokana na watu kugema mafuta yake sasa swali langu ni jee hayo mafuta yana kazi gani na yana thamani gani hadi kufikia watu kurisk maisha yao kwa ajili ya kuyaiba?
  16. Mwigulu: Kodi Mpya kwenye mafuta mwarobaini wa tatizo la barabara Vijijini

    "Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta" Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
  17. Mjadala kuhusu visima vya mafuta

    Salam wanajukwaa,. Ninaomba tupeani elimu kuhusu visima vya mafuta kwa sababu mafuta yanatumika sana,ukiona Magari,pikipiki,bajaji,mitambo mingi ya viwanda inategemea mafuta. Tumeshuhudia migogoro mingi hasa mashariki ya Kati kwa sababu ya mafuta sasa...
  18. Upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Kuna jambo haliniingii kichwani. Jana nimemuona Waziri Mkenda na Balozi wa Netherlands hapa nchini Tanzania wakiwa ARUSHA wakizungumzia juu ya upungufu wa mafuta ya kula. Sijamuelewa maana huku mafuta yapo na ya kutosha na hayana wanunuzi. Wao wanataka mafuta yapi?
  19. B

    Kujenga Kituo cha Mafuta karibu Shule imekaaje?

    Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto wanaosoma hapo. Pia, usalama wa hiyo shule. Mwenye uelewa na haya masuala sheli adadavue. Me naona kama...
  20. S

    Hili la wizi wa mafuta TPA linaumiza vichwa

    Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao wanadiriki kupongeza juhudi za mkuu wa Wilaya katika kuwabaini wezi wa mafuta. Hii ni aibu kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…