Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

Lutifya

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,668
4,363
Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka 2.3M mpaka 2.9M.

Kiwango kitawafanya Wafanya Biashara kununua kwa bei ya chini kutoka kwa Wakulima ili kufidia pengo la kupanda kwa gharama za usafirishaji. Mbaya zaidi mabadiliko haya hayajapandisha bei ya Viazi sokoni. Poleni Wakulima Kazi inaendelea.
 
Back
Top Bottom