mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Uongozi unaoacha alama hii ndio faida ya bomba la mafuta

    Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  4. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

    Shambulio la Israel hivi majuzi pale Gaza mjini Al-Mawasi katika mji wa Khan Younis, imepelekea nitafakari kwamba Israel imedhamiria kuisafisha Gaza yote na kuwaondoa Palestinians wote haijalishi itaua raia wasio na hatia kiasi gani ikiwemo watoto wadogo. Hapo Al-Mawasi ndani ya Khan-Younis...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Kituo cha Mafuta kilichojengwa Kimara Stop Over kimejengwa eneo la hifadhi ya barabara ya Morogoro?

    Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA. Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara. Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
  7. Jacky collection

    JamiiForums Tanzania Jipatie mafuta mazuri original (Turmeric oil) kwa bei nzuri

    Pambe ya mjini, si unajua balaa la manjano sasa haya ni Mafuta yake 1000ml bei ni 40,000 tu karibuni Sana. Piga simu 0692436124 Hii ni Body Repairing Wapendwa: 🌺Inaondoa weusi mwilini kwenye mapaja, makalio, makwapani, magotini na viwiko vya mikono 🌺Inaondoa sugu zote za vidoleni 🌺Inaondoa...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama hauna mambo mengi, daka Mitsubishi i-MIEV electric car, hafu sahau gharama za mafuta!

    Wadau wa JF Garage. Kuna chuma, EV kutoka kampuni la Kijapan Mitsubishi inaenda kwa jina Mitsubishi i-MIEV (Mitsubishi innovative Electric Vehicle). Hii unaweza kuipata BEforward kwa bei kati ya Mil 5 hadi 6 na kuendelea, na kodi zake (kwenye calculators ya TRA haipo) nimeulizia ni Tsh Mil 3.5...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mwarobaini wa changamoto ya mafuta Tanzania

    Mafuta ni nishati muhimu sana duniani, pamoja na kuwa nishati muhimu sana duniani bado nchi zinazozalisha mafuta asilia ni nchi chache sana duniani, kiasi kwamba hata pale zinapokumbwa na changamoto kama vile vita, majanga ya asili na magonjwa ya miripuko sisi kama Watanzania na nchi nyingi za...
  10. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa za sukari na mafuta upoje

    Habari wakuu Naomba kujua utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa tajwa hapo juu Hadi mzigo kufika katika godow Tanzania bara upo vipii
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ndege yapata ajali baharini offshore

    Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya gesi asilia mbadala wa mafuta ya dizeli na petrol

    Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini. Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel ambayo huagizwa kutoka nje ya nchi na kupelekea nchi kutumia fedha nyingi za kigeni katika uagizaji...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine zakwamisha shughuli kwenye kinu cha kusafisha mafuta nchini Urusi

    Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema Alhamisi, na kuongeza kuwa hakukuwa na majeruhi. Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege 13 zisizo na...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Mafuta Ya Zanzibar Yalichimbwa Lini

    Miaka ya nyuma kidogo uliibuka mvutano baada ya kuusemekewa kuwa ukanda wa bahari unaoizunguka Zanziba una mafuta. Kuna sauti za nguvu sana zilizosikika kutoka Zanzinbar zikidai kuwa hata kama mafuta hayo ni kinibu tu, ni mali ya Zanziba nma walamyasiguswe na serikali ya Dodoma. Ni miaka imepita...
  16. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  17. border mc

    JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia

    Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni aina gani pendwa zaidi walaji huipenda? Na je bei zake zinaweza nipatia faida kiasi? Na ni maeneo...
  18. Tom lee Ab

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Ngombe / Mafuta Ya Shahamu Natengeneza kwa Ustadi Kabisa Fursa Hii

  19. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mchele uliopakwa mafuta na athari kwa afya zetu, Serikali itoe tamko tujue usalama wetu

    Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili? Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani? Tunashuhudia kansa...
  20. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
Back
Top Bottom