mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

    Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa. Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?. Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Bei mpya za mafuta zatangazwa, Petroli ni Tsh. 2752 Dar

  4. JamiiForums Tanzania Pole kwa mmiliki wa kituo cha mafuta Lake Oil company

    Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe. Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya Igoma jijini Mwanza hakuna raia aliyepigwa risasi .
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheli zimezuiwa kuuza Mafuta kwa Watanzania

    Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi. Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika. Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao. Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29? Tuendelee kuwepo...
  6. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Biashara ya Vituo vya Mafuta Vijijini na Mjini

    Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Waarabu waliona msaada wa kuwapa waislamu wa Africa ni tende na mafuta ya miski?

    Hii ni dharau kubwa Ifike pahali misaada ya namna hiyo ikataliwe! Kule bukinabe jamaa alikataa misaada ya ujenzi wa misikiti akawaambia wajenge shule hospital na viawanda wakauchuna.
  8. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jumba la Utamaduni lachanganya sanaa, maendeleo ya mafuta na urafiki wa China na Uganda

    Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
  9. JamiiForums Tanzania Vipato vyetu na matumizi ni maji na mafuta kiukweli kwa maisha haya Tanzania

    Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum. Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu. Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump. Kazi anazofanya kama...
  10. JamiiForums Tanzania Unakubaliana na Polepole kwamba Lita ya Petrol Cuba ni Tsh 300 au ndio ile unabisha ulikuepo?

    Kwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti kwamba sisi iwe juu kwao kidogo?
  11. JamiiForums Tanzania Haya mafuta yana kazi gani?

    Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto. Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.
  12. JamiiForums Tanzania Kama Kuna Dawa Inachoma Mafuta Mwilini Basi Usiache Kuyala

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwendokasi (BRT) wasiachane na magari ya mafuta au gesi wakachukua city bus za umeme mfano Yutong E18.

    Wakuu. Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama. Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za mtandao huko Marekani nako sasa zimeshika kasi, wafanyabiashara wa mafuta wameitia mfukoni wizara ya nishati.

    Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁. Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha paneli za solar dunia yote utapata nishati kwa 20% ya mahitaji ya dunia wakati wanasayansi wote wanasema...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupunguza Mafuta Mwilini

    Lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta kama nta yanayopatikana kwenye damu na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida, lehemu ni muhimu sana kwa: Kuta za seli, Homoni za mfumo wa uzazi, Mishipa ya fahamu, Na hata kutengeneza baadhi ya vitamin. Ukiangalia nyama ya ng’ombe, yale mafuta...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  18. JamiiForums Tanzania Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama unajua ulitumia hivi vibatari punguza kula sukari na mafuta

    Wakuu, kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…