mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi akutana na Balozi wa Oman, wajadili masuala ya mafuta na gesi

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
  3. JamiiForums Tanzania Toyota vitz 2011 inakula sana mafuta

    Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke jitahidi uyajue mafuta ya Miski haswa kwa wenye maumbile ya kike makubwa.

    Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke. Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  7. JamiiForums Tanzania Petrol Stations za Dar es Salaam wanakataa kupima mafuta kwa wenye vidumu vya chuma!!

    Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri...
  8. JamiiForums Tanzania Usitumie Mafuta ya kukamulia Ng'ombe kujipaka binadamu

    Bidhaa inapotengenezwa hasa ya afya huambatana na tafiti na uthibitisho wakutosha kabla ya kuruhusiwa kutumika katika shughuli maalumu iliyokusudiwa. Kubadilisha matumizi ya bidhaa ya afya sio jambo linaloshauriwa hata kidogo mara nyingi ni hatari na huweza kuambatana na madhara makubwa...
  9. JamiiForums Tanzania US wameiteka meli ya mafuta ya Urusi

    Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa. US wanadai...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Serikali ya Venezuela itatupatia mapipa Milioni 30-50 ya mafuta, tutayauza na fedha nitasimamia zinufaishe pande zote

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema serikali ya mpito ya Venezuela imekubali kuipatia Marekani mamilioni ya mapipa ya mafuta yatakayouzwa kwa bei ya soko la kimataifa, huku mapato yakielezwa kuwa yatanufaisha wananchi wa nchi zote mbili. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nafukua: Watu waliouwawa October 29 sio wape waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa

    Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano. Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  13. JamiiForums Tanzania Abdallah Omari Likonda Anaeleza Historia ya Duka la Mafuta ya Taa la Mama Maria Nyerere na Joseph Kiboko Nyerere 1950s

    https://youtu.be/rnnegB5L8I0
  14. JamiiForums Tanzania Una Degree, Masters au PhD lakini unaamini hawa manabii wa Leo?

    Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1 Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi. Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
  15. JamiiForums Tanzania US ameanza uharamia. Amevamia, ameteka meli ya mafuta huko Venezuela.

    Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela Akizungumza Ikulu ya White House siku ya Jumatano, Rais Donald Trump alisema meli hiyo ni kubwa kuliko zote zilizowahi kukamatwa. Video iliyotolewa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vituo 672 vya mafuta vilichomwa moto

    Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 imeleta taharuki ya Mafuta, usafiri, vyakula & Condoms

    Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
  18. JamiiForums Tanzania Huu moto aliouwasha na sasa kuuchochea tena kwa mafuta Samia na Kikwete wataweza kuuzima au utawaunguza kama siyo kuunguza taifa?

    Nimeangalia na kusilliza hotuba mbovu, ya mipasho, ubabe na ukosefu wa busara ya rais leo. Nimesikitikaka. Nimekwazika, nimchukizwa, na kuhuzunishwa namna Idi Amin Mama alivyoipoteza fursa ya kutibu taifa. Kwanza, ameongea pumba kwa kusingizia na kushutumu nchi za kigeni bila kutoa hata chembe...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

    Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa. Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?. Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…