mafuriko

  1. simplemind

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya dunia nzima kwa mujibu wa biblia

    Biblia inasema:Maji yalizidi juu ya mlima mrefu(Mt Everest?) kwa dhiraa 15(mita 7) (Mwanzo 7:20) Ilikufunika hadi kilele cha Everest dunia ingehitaji maji ya ziada kiasi cha takribani kilomita za ujazo bilioni 4.5 mara tatu ya maji yote yaliyopo kwenye bahari sasa. Changamoto iliyopo hakuna...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Marekani yafikia 78

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa jimbo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya uchukuaji fomu ni kipimo cha nguvu ya CCM

    Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi. Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

    Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Kiboroloni Moshi, maji yaja kwa vishindo

    O6 May 2025 Kiboroloni Mto wafurika na kuleta maafa mjini Moshi https://m.youtube.com/watch?v=kmQ_Uwh_r-g Mkazi wa Kiboroloni rastaman Kimambo aomba serikali inyooshe mto ili eneo hilo liwe kama la Majengo kwa Mtei ambapo kona za mto zilichongwa na kunyooshwa hivyo kuepusha matatizo ya...
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; Baba aokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto kubebwa na mafuriko

    Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina la jimmy au almaarufu Baba Adriana, mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Lemara ameokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyekuwa nae kwenye pikipiki yake kusombwa na maji wakati wakivuka mto. Tukio Hilo limetokea njiro...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  8. Mzee Nyerere

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stepehen Wasira: Rais Samia amejenga hospitali na zahanati, mkombozi mkubwa kwa wanawake

    == Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake. Wasira amesema hayo jana Machi 29, 2025 Itilima mkoani Simiyu alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wanaokandia ongezeko la Wachina hawajui dunia inakoelekea. Hiyo ndio Globalization, ni mafuriko

    Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya. Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mvua ya Jumapili huko Durban Afrika Kusini yaleta madhara kwenye makaburi

    Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini. Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Bomboko abaini kiini mafuriko Mtakuja, aja na mwarobaini

    MKUU wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, amekutana kwa zaidi ya saa tano na wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichopo Kata ya KIA, kujadili na kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la mafuriko ya mvua, ambayo yamekuwa yakiathiri makazi ya watu kila mwaka, na ekari 306 za mazao ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mafuriko, maporomoko mikoa 14, Dar ipo. Tahadhari yaathari kubwa kwa miundombinu na maisha

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema maeneo yanayopata mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani yanatarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. TMA imesema vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa kujitokeza na kusababisha mafuriko na...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa angalizo la mvua kubwa inayoweza kusababisha makazi kuzungukwa na maji

    Wakuu, ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki (Mikoa ya Arusha...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Stergomena Tax: Msiridhike na shamrashamra za Kampeni na mafuriko ya Mikutano, kapigeni kura

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 25 Novemba 2024, ameshiriki Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya Magu, kwa kuwanadi na kuwaombea kura Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Vitongoji, Mitaa, pamoja na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mara: Watu tisa wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kusombwa na maji

    H Hii inasikitisha sana wakuu, maumivu ya hapo hayaelezeki kwa kweli. ======== Watu tisa wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kusombwa na maji baada ya mto uliopo jirani na makazi yao kujaa maji, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Tarime. Tukio...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mwanza iboreshe ‘maeneo korofi’ ambapo mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya

    Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa. Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Ukame na Mafuriko huchochea ongezeko la Ndoa za Utotoni

    Ripoti ya Mei, 2023 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), imeonesha jumla ya watoto milioni 640 wa mataifa mbalimbali chini ya miaka 18 wamebainika kuolewa, Tanzania ikiwepo. Ripoti hiyo imebainisha kuwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini hali ni mbaya zaidi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora: Wakazi wa kidongo Chekundu wahofia watoto kufa maji na nyumba kubomboka baada mtaro wa maji unaopita pembezoni makazi yao kuongezeka kina

    Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro wa maji unaopita pembezoni mwa shule hiyo na makazi yao kuongezeka kina na upana hali inayo...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi atimiza ahadi yake,aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne Kata ya Kimochi mafuriko ya April 25 mwaka huu

    Profesa Ndakidemi aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Kata ya Kimochi MOSHI Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ametimiza ahadi yake baada ya kuipa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Katimba: Daraja la Jangwani Suluhisho la Mafuriko Dar Es Salaam

    MHE. KATIMBA: DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni Ofisi ya Rais TAMISEMi kwa kushirikiana na wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS wanatarajia kusaini mkataba na...
Back
Top Bottom