mafuriko

  1. upupu255

    SI KWELI Magari yakibebwa na mafuriko huko Nairobi

  2. 888I

    Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  3. O

    Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko

    Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
  4. N'yadikwa

    Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  5. Roving Journalist

    CCM yaipa pole Msumbiji kwa kukumbwa na mafuriko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam...
  6. stakehigh

    Ni mafuriko katika geti ngorongoro

    https://www.tiktok.com/@visitngorongoro/video/7585837537608961301
  7. feyzal

    GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  8. upupu255

    GE2025 Mgombea ubunge jimbo la Tabora mjini aahidi kukomesha tatizo la Mafuriko kata ya Mwinyi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini kumchagua. Akiwa katika kata ya Mwinyi Mgombea Ubunge huyo amewaahidi wananchi wa kata hiyo kutatua...
  9. R

    Mafuriko na maporomoko India zasababisha vifo vya watu 30

    kwa mujibu wa shirika la habari la ANI Agosti 27, 2025 mvua kubwa imesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo katika njia maarufu ya hija ya Kihindu kaskazini mwa India, na kusababisha vifo takribani watu 30 huku maafisa wakitoa tahadhari yamewalazimu maafisa kutoa tahadhari kwa wananchi...
  10. R

    Watu zaidi ya 300 wamepoteza Maisha kwa Mafuriko Pakistan

    Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo zimeambatana na maporomoko ya ardhi, radi, maporomoko ya majengo na mafuriko ya ghafla, na kufanya...
  11. N

    Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko

    Ushauri wadau... Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko Uzi tayari..
  12. simplemind

    Mafuriko ya dunia nzima kwa mujibu wa biblia

    Biblia inasema:Maji yalizidi juu ya mlima mrefu(Mt Everest?) kwa dhiraa 15(mita 7) (Mwanzo 7:20) Ilikufunika hadi kilele cha Everest dunia ingehitaji maji ya ziada kiasi cha takribani kilomita za ujazo bilioni 4.5 mara tatu ya maji yote yaliyopo kwenye bahari sasa. Changamoto iliyopo hakuna...
  13. The Zanzibar Echo

    Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Marekani yafikia 78

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa jimbo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa...
  14. Dr Adam Francis

    GE2025 Mafuriko ya uchukuaji fomu ni kipimo cha nguvu ya CCM

    Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi. Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
  15. chiembe

    PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

    Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
  16. B

    Mafuriko Kiboroloni Moshi, maji yaja kwa vishindo

    O6 May 2025 Kiboroloni Mto wafurika na kuleta maafa mjini Moshi https://m.youtube.com/watch?v=kmQ_Uwh_r-g Mkazi wa Kiboroloni rastaman Kimambo aomba serikali inyooshe mto ili eneo hilo liwe kama la Majengo kwa Mtei ambapo kona za mto zilichongwa na kunyooshwa hivyo kuepusha matatizo ya...
  17. Bushmamy

    Arusha; Baba aokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto kubebwa na mafuriko

    Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina la jimmy au almaarufu Baba Adriana, mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Lemara ameokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyekuwa nae kwenye pikipiki yake kusombwa na maji wakati wakivuka mto. Tukio Hilo limetokea njiro...
  18. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  19. Mzee Nyerere

    PreGE2025 Stepehen Wasira: Rais Samia amejenga hospitali na zahanati, mkombozi mkubwa kwa wanawake

    == Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake. Wasira amesema hayo jana Machi 29, 2025 Itilima mkoani Simiyu alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano...
  20. P

    Wanaokandia ongezeko la Wachina hawajui dunia inakoelekea. Hiyo ndio Globalization, ni mafuriko

    Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya. Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo...
Back
Top Bottom