mafundi

  1. JamiiForums Tanzania Kuwatumia "Mafundi" badala ya Wahandisi kwenye Ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule ni dharau

    Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo! Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama. Majengo ya serikali sio nyumba...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mafundi pikipiki

    Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu. Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa Mafundi Magari waliokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli yatolewa

    JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo. Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mafundi fridge, naombeni msaada wenu

    Fridge langu mlango wake haubani vizuri. Yaani ukifunga kunabaki upenyo unaosababisha baridi kutoka nje. Najua Kuna zile lock Kama za milango ya nyumba lakini kwangu naona kama ni za kizamani Sana na zinaaribu muonekano wake. Naomba kujua kama kuna lock za kisasa au ambazo zinatumika sumaku au...
  7. JamiiForums Tanzania Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka

    Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika. Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus. Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama. Kwa maelezo...
  8. JamiiForums Tanzania Mafundi pikipiki mwaweza geuza pikipiki kuwa Pickup

    PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile: Mafundi simu wenye tabia ya kufuta namba ya IMEI kuchukuliwa hatua

    Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
  11. JamiiForums Tanzania Mafundi wa simu upande wa Software mnahitajika hapa

    Nahitaji fundi anaeweza kufanya Password Unlock ya Oppo A31 2020 CPH2015, simu ni mpya haina google account. Kama yupo fundi anaepatikana Dar itakuwa poa zaidi
  12. JamiiForums Tanzania Swali LA KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

    Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe? Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme. n.k. Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta Garage au mafundi bora wa Bodi na Engine za gari za Kijapani, Mwanza.

    Ndugu zangu habari zenu nyote... Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza.... Nimepata taabu sana kwenye eneo hili. Kuna wakati nilipelekwa gereji moja na rafiki yangu nmoja. Mafundi wa pale...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  16. JamiiForums Tanzania Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

    Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V. Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

    Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii. Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa kujenga nyumba nipeni ushauri hapa

    Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu. Nina swali muhimu kwenu nalo hili: Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
  19. JamiiForums Tanzania Mafundi umeme watakiwa kuwa na leseni

    Mafundi umeme wametakiwa kujisajili na kupewa leseni na Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kuzuia ajali za moto zinazosababisha vifo na uhalibifu wa mali sanjari na kuepuka vishoka. Akizungumza na www.mtanzania.co.tz , Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za...
  20. JamiiForums Tanzania Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

    Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero. Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…