mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mkulima aweka wazi hawahofii mafisadi wa CAG aliowaburuza kortini

    MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba kama Bunge lilivyoamua.
  2. Samia atosha tukutane2030

    Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  3. The Burning Spear

    Rais Samia sauti ya Hayati Magufuli inakwambiaje kuhusu mafisadi?

    Umekuwa ukisikika mara kwa mara ukisema sauti ya Magufuli ina kwambia mara hivi mara vile, lakini hatujawahi kusikia sauti hiyo imekwambia chochote kuhusu; 1. Mafisadi 2. Wezi 3. Wavivu makazini 4. Rushwa 5. Wote wanaoshiriki kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi Kuna kila dalili...
  4. Slowly

    Video: Mafisadi jitahdini angalau kutoa mikopo kwa vijana

    Bila shaka pesa ya hii nchi ipo mikononi mwa mafisadi , mama anakusanya huko na kule ikifika mezani wahuni wanagawana , the worst ni kuwa wengi huficha hzo hela nje ya nchi , Kama hii video inaonyesha kabisa huyu fisadi hajui hata pa kuzipeleka hzo hela ameishia kuzitandaza tuu sebuleni ...
  5. Allen Kilewella

    Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  6. Meneja Wa Makampuni

    Mbinu za kuwakamata mafisadi, wabadhirifu wa fedha za umma na wala Rushwa

    Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za kufanya hivyo: 1. Kuanzisha mifumo madhubuti ya udhibiti wa ndani na uwajibikaji katika taasisi za...
  7. Deogratias Mutungi

    Bunge lisaidie taifa na minyororo ya mafisadi

    Salaam nyote Wana Jamii forums Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha ripoti ya CAG itawasilishwa Bungeni na Kujadiliwa. Ombi langu kwenu wabunge tafadhari kwenye ripori...
  8. T

    Mama anaupiga mwingi maana yake nini? Ni ili CCM muibe kiulaini?

    Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu. Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya...
  9. J

    Badala ya Bunge kuturundikia tozo lijikite kudhibiti wizi wa mabilioni kwani Mafisadi wamo miongoni mwao

    Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG. Naona Tozo sasa ni sawa na Kunguru wa Zanzibar. Ramadan kareem!
  10. Kamanda Asiyechoka

    Chadema wamewasaliti Watanzania

    Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
  11. H

    Ona hawa mafisadi wa bara la Afrika wanavyojimwambafai

    Kwenye mada, Kuna wakati unawaza kuhusu kwanini Afrika?Unaelewa ni agenda ya mezani ya kila siku ya nchi zilizoendelea. Kama tunavyofikiri namna ya kuendesha familia zetu vizuri kwa ustawi ndivyo mataifa ya magharibi yanavyofikiri ni nini cha kuchukua Afrika kwa kodi zao za meza. Kuna wakati...
  12. Kabende Msakila

    Wanaomkandia Hayati Magufuli ni watukufu au waovu? Ni mafisadi au wema? Ni wazembe au wavivu?

    WanaJF, Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
  13. T

    Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  14. B

    Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

    Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu. Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana. Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada. Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote...
  15. Nigrastratatract nerve

    Wezi wa kuku wanachomwa kwanini mafisadi yalipoadhibiwa na Magufuli watetezi wao walifurahia

    Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake. Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
  16. Nigrastratatract nerve

    Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

    Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta Mbowe: Huyu...
  17. K

    Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

    Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi wa Ufipa. Mafisadi yalitabiri bwawa hilo halitajaa kwa sababu Magufuli amekata miti milioni 3...
  18. R

    Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  19. K

    Je, ziara nyingi za Rais ni mbinu za Mafisadi?

    Nimesikia habari za ndani kwamba kwa makusudi mafisadi na watu wenye nia mbaya wanataka kumweza Raisi na ratiba zake nje ya ofisi ili asigindue ufisadi unao endelea. Hii ni kuanzia malalamiko ya maandishi, mikataba mibovu na kuhusu majadiliano na upinzani. Kama ni kweli watu wenye nia nzuri...
  20. E

    Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

    Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu . Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
Back
Top Bottom