mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Griss

    JamiiForums Tanzania Uwa najiuliza majizi na mafisadi ya nchi hii ambavyo yalikuwa yakimpigia kelele Magufuli lakini sasahivi yapo kimya Nini kimebadilika?

    Uwa najiuliza majizi na mafisadi ya nchi hii ambavyo yalikuwa yakimpigia kelele Magufuli lakini sasahivi yapo kimya Nini kimebadilika? Mafisadi Kama Msongola &.com nini kimebadilika ? Magufuli alisingiziwa tu Ukiangalia Magufuli alimkataa kabisa Makonda kwa kujuwa huyu mtu dunia inamtambua...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mafisadi sasa wanatamba

    Habari wadau Hivi pesa wanazotumia vilabu kama Singida big Star na Yanga ni fedha halali?? GSM anadhamini vilabu zaidi ya 10 hizi fedha wanazitoa wapi?? Hatujawahi kusikia huyu GSM ameita vyombo vya habari na kuweka bayana ufadhili wake kwa Yanga. Waweke vyanzo vyao vya fedha ili Umma ujue...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ukimsikia rais Samia anaita watu wanaofichua ufisadi sio wazalendo mwambie wasio wazalendo ni hao mafisadi waliofichuliwa na sio watumishi wa umma

    Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ? inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni uzalendo kufichua ufisadi na mafisadi ndani ya serikali.

    Sabato njema! Ni jukumu la wazalendo mahala popote walipo iwe ni watumishi wa serikali, viongozi wa serikali au raia wa kawaida. Jukumu namba moja la mzalendo ni kulinda nchi yake. Kulinda maslahi ya watanzania. Kufichua ufisadi na mafisadi ni sehenu ya kulinda Nchi na kulinda Maslahi ya...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mapato yote serikalini yanamezwa na mafisadi — wao wanakula, sisi tunadanganywa na bajeti hewa!

    Wakuu, kama hujawahi kukasirika hadi damu ipande pressure, basi soma huu uzi kwa makini. Hii siyo lelemama, siyo kutafuta kiki wala siasa za kishamba — hii ni sauti ya uchungu, hasira na uhalisia wa mnyonge wa Tanzania anayeishi kwa maajabu ya Mungu. Serikali imetangaza bajeti ya mwaka wa fedha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya baadhi ya mafisadi wa Tanzania tangu 2000 nakuandelea

    Orodha ya mafisadi wakubwa waliowahi kutajwa au kuhusishwa na kashfa kubwa za ufisadi Tanzania tangu mwaka 2000 ni ndefu na imejumuisha wanasiasa, wafanyabiashara na watendaji wa serikali. Zifuatazo ni baadhi ya kashfa na watu waliotajwa kuhusika: 1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) –...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa bwawa la Mwl Nyerere kwapeleka kilio kwa mafisadi, Kwenye ukame huu wangewapiga watanzania mabilioni ya pesa

    Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi? Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wengi wanafisha pesa nje serikali wekeni majina

    Hii List serikali wanayo lakini kwasababu wengi ni vigogo wa CCM hawawezi kuweka wazi. Pesa inasemekama ni zaidi ya trilioni moja imefichwa nje
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Genge la Mafisadi na Viongozi Wastaafu waliotumika kuchafua Utawala wa Magufuli

    Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu. Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana...
  13. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Unaibaje?

    Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika. Kwahiyo wewe kama...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CNN Video: Bashar Al Asad aliyekuwa Rais wa Syria ni kielelezo cha watawala walivyo na tamaa na mafisadi. Angalia utajiri wa magari aliyojilimbikizia

    Hapa duniani jamani tunapita tu.... Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..? Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85%...
  15. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  17. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

    Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa Katika vitu ambayo...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa ni kama meli

    Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na mashirikiano mema Kati yetu raia pamoja na vyombo vya usalama wa baharini kwa sababu tukienda kinyume...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Ukiona hadi mafisadi wanaikosoa serikali lazima uogope

    Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini. Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini. Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake. Ukiona watu km hawa...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

    * RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia, * Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka, * Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari; * Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk...
Back
Top Bottom