mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

    Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani. Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama...
  4. JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
  6. JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hawaniambii wamefika vipi, wanasisitiza nisikate tamaa

    Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,” lakini ukimuuliza amepitia nini mpaka akafika hapo, si rahisi kukueleza kila kitu. Kuna mambo aliyapitia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania Mafanikio Halisi: Watu au Vitu?

    Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari? Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo... Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Mtu yako katika Uhaminifu

    Leo nilipata nilipata nafasi ya kutafakari habari kutoka Njombe kutoka katika mitandao ya kijamii Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ujumbe ambao alikuwa anatoa alilielezea kisa cha kijana mmoja ambaye alipewa kazi ya kukusanya maparachichi kutoka kqa wakulima na mfanyabiashara wakiasia...
  10. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  12. JamiiForums Tanzania Hebu tujiulize: Kuna mda wa umri na mafanikio yanaweza ya kapishana au kukosekana kabisa

    Hakuna kitu kina rahaa pale ndoto zako zimetimia kwa wakati sahihi na muda wa umri wako. Leo unakuta mwalimu au mtumishi anastaafu ndio anamiliki ndoto yake ya kununua gari wakati umri aliobakiza ni bonus za mungu. Kuna wale wanakuja kupata mafanikio wakiwa hawana tena uwezo wa kuyatumia maana...
  13. JamiiForums Tanzania Tupumzishane wajameni hakuna aliyerudi duniani mara ya pili, motiveshono spikas wamekuwa wengi kuliko spika zenyewe.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo yanakosa mizizi ya uhalisia. Ni rahisi kusimama mbele ya watu na kusema “fanya hivi, acha vile”, lakini...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Pesa ni tool muhimu iwe Pascal mayala au Robert Heriheri sijui Heriel kasema amani ni mafanikio ila pesa ni chanzo

    Ni kweli mafanikio yanahusisha furaha, amani na utulivu wa moyo. Lakini tusidharau nafasi ya pesa. Ukiishi maisha ya kukosa chakula, kushindwa kulipa ada, kodi au matibabu, ni vigumu kuwa na amani ya kweli. Pesa si furaha yenyewe, bali ni chombo muhimu kinachorahisisha maisha na kupunguza...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukimueleza mtu mafanikio yako anakasirika?

    Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini? Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni kweli, Dar es Salaam ndio center ya mafanikio hapa Tanzania? Unamshauri nini kijana?

    Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini? Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
  19. JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mafanikio ya Wachawi na Somo Kwetu

    1. WAKO MAKINI NA MAMBO YAO. Hawataki mchezo kwenye harakati zao za uchawi wakiambiwa lazima upatikane unyayo wa paka basi atamtafuta paka siku nzima na kwa gharama yoyote paka ampate. Lakini wewe ukiambiwa toa chakula kwa mayatima ili ufanikiwe utaanza sababu mia kidogo unaona unapoteza hela...
  20. JamiiForums Tanzania Ardhi Haikupi sio tu Mafanikio, Inaweza Kukupa Utajiri wa Ghafla

    Kuna biashara ambazo zinakupa hela kidogo kidogo kila siku, lakini zipo biashara ambazo zinakaa kimya kwa muda mrefu halafu siku moja zinakushangaza kwa hela nyingi kwa mkupuo. Miongoni mwa biashara hizo ni ardhi, kilimo na madini. Unaweza ukahangaika miaka kadhaa bila kuona matokeo makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…