mafanikio

  1. M

    Unajua somo hili katika mafanikio?

    Kwenye mitandao ya kijamii kumejavaa mafunzo mengi kuhusu mafanikio katika maisha au biashara yeyote na mafunzo hayo ni mazuri na nimoja ya njia ya mafanikio Je umewahi kusikia haya ? Ukiwa katika safari ya mafanikio katika biashara yako hakikisha umetimiza mambo haya kwanza 1) kuwa na...
  2. The Dictator

    Ndio maana mnaambiwa brand ni muhimu kwa mafanikio yako. Hebu imagine kila mtu anamjua huyu ni nani!!

    Umeshamjua huyu ni nani?😂😂
  3. M

    Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  4. Wakusolve

    Jinsi mazingira uliyokulia yanachelewesha mafanikio yako

    Jinsi Mazingira uliyozaliwa yanaweza kukuchelewesha kufanikiwa. Mazingira yanamchango mkubwa wa mtu kufanikiwa, ukiwa kwenye Mazingira sahihi ni rahisi kupiga hatua.Mazingira uliyozaliwa au home town yanaweza kuwa kikwazo cha mtu kutopiga hatua kivipi. 1. Marafiki uliokuwa nao, unapokuwa...
  5. Wakusolve

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  6. S

    Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  7. Bwege2030

    SIASA NA SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.

    SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA. 🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji "Income starts wealth. Investing completes it." Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu. Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye. Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu...
  8. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Machi 8, hatutasherehekea mafanikio ya Mwanamke Duniani, mioyo yetu bado inavuja damu, Oktoba 29 imeacha kovu

    HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza, Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
  9. VN Warehouse Limited

    Ukweli Usiosemwa Kuhusu Watu Wako wa Karibu Kwenye Safari ya Mafanikio

    Habari wana JF, Kuna jambo wengi huligundua wakiwa wamechelewa -sio kila mtu wa karibu yako atakuwa tayari kukuona ukipiga hatua kubwa kuliko yeye. Na hapa nisisemee vibaya: Watu wengi wa karibu wanaweza wakawa wanakutakia mema kwa dhati. Wanapenda ufanikiwe. Wanakuombea. Wanakutia moyo...
  10. Pdidy

    Maombi maalum kwa mafanikio unayoomba yanachelewa kufika, Mungu hajawahi shindwa

    PERSONAL PRAYERS AGAINST DELAY 🔥 📖 Anchor Scripture “The vision is yet for an appointed time… it shall surely come, it will not delay.” — Habakkuk 2:3 (NKJV) 6 PRAYER POINTS I declare every delay working against my destiny is broken now. I step out of stagnation and into divine momentum. I...
  11. Vien

    Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  12. N

    JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  13. Inside10

    Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  14. a sinner saved by Christ

    Utajiri na mafanikio ya hali na mali

    Tajiri ..!
  15. ELI COHEN

    Mtu katili anajishangaa mafanikio yake licha ya kuwa muovu, mtu mnyenyekevu anajishangaa tabu zake licha ya kuwa mwema. Its a crazy world out there!

    Malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa. Malipo ya wema ni kupelekeshwa. Kuna sanaa ya kubalance ufahari usiwe kiburi na nidhamu isiwe unyonge, na hii ndio siri ya mafanikio. JASUSI COHEN
  16. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  17. Mr Beach Boy

    Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

    1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m 02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk 03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja. Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
  18. Waufukweni

    Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa? Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
  19. Mr Beach Boy

    Achana na washauri(mentors) kila mtu ana njia ya mafanikio yake

    Mwanzoni nilikuwa najua mentor hutoa guidelines za mafanikio. Lakini ukweli ni kwamba njia alizotumia X kufanikiwa ni tofauti na njia utakazo tumia wewe Y kufanikiwa ukiiga utaishia kuingia chaka. Acha kuexpose mambo yako kwa watu wanaojiita mentor achana nao kwani matatizo yakikukuta...
  20. A

    Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

    Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe. Asanteni...
Back
Top Bottom