maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

    Kuna hujuma dhidi ya jitihada za Serikali zinazofanywa na baadhi ya wasioitakia mema Tanzania zikilenga kufifisha jitihada zetu za kujikomboa, kiuchumi kwa maslahi yao binafsi, kamwe hawataki kuona tunadhibiti rasilimali walizokuwa wakivuna na kusafirisha bila kuulizwa. Wanaotuhujumu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni taifa gani kati ya haya ambalo limekuwa na mchango mkubwa zaidi Duniani katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa muda wote na kwanini?

    Habari! Taifa ni watu na tunapozungumzia mchango wa taifa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia tunamaanisha jitihada za watu katika taifa husika katika kulitekeleza hilo. Katika historia kuna watu wengi maarufu kutokana na vipaji pamoja na maarifa waliyokuwa nayo hapo zamani yaliyokuwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!! Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Lwaitama: Sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo

    December 11, 2019 Dar-Es-Salaam, Tanzania Mada : Sera pacha ya Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu Dr. Azaveli Lwaitama akizungumza na wazee wa CHADEMA ameainisha jinsi sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo inavyoshika kasi ushawishi miongoni mwa watu-huru. Sera hii pacha ina kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Rangi: Hakika watanzania walichagua njia sahihi za kupatia maendeleo

    Moja ya kumbukizi ya mamboleo ni kuhakikisha unawapa na kutoa Sifa mathubuti Kwa watu weupe (shit) people hawa mara nyingi huwa ni wanasiasa wakiwemo kama Bashe WA zamani, Heche, Sugu, Shonza n.k maana ni wepesi kuongea mambo mazito walizani wamefundisha jamii Yao kumbe ni kusikiliza na kucheka...
  8. JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanahoji Rais Magufuli kupeleka maendeleo Chato na Geita kwa ujumla?

    Watu wanahoji kwa nini Rais Magufuli anapeleka maendeleo kwao, Chato na Geita kwa ujumla, kama vile watu wa Chato au Geita hawastahili kupata maendeleo, sasa asipeleke Chato apeleke wapi? Unapokuja kwenye rasilimali za nchi hii haziko kwenye mgawanyo sawa, kuna mahala pengine utafikiri sio...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni dira ya maendeleo barani Afrika

    YASHUHUDIE MAAJABU YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAYOJENGA VIPYA PAMOJA NA KUFUFUA VILIVYOKUFA: Uongozi wa nchi ni sawa na fumbo la imani. Hakuna awezaye kujua kesho atakuwa nani isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee ndiye mwenye ufunguo kwa kila mja wake. Unaweza ukawa na wazo, nia pamoja na malengo...
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza Kuamini Hii?!, Pamoja na Juhudi Zote za Rais Magufuli Kuleta Maendeleo Kwa Kusisitiza Ukweli Daima, Lakini Bado Anadanganywa Mchana Kweupe!.

    Wanabodi, Kuna hii video clip ni ya kipindi cha nyuma, ila mimi ndio nimeisikiliza leo, naomba na wewe isikilize halafu uniambie hayo yanayozungumzwa humu kama yanaweza kuwa ni kweli?!. Mimi nimemsikiliza huyu Meya wa Jiji la Mwanza, Mtahiki James Bwire, hivi huyu kweli haya anayoyasema kwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni utamaduni wetu kuongelea siasa kuliko Maendeleo binafsi?

    Najiuliza tu na hii ni sehemu nyingi sana Duniani. Watanzania tukikutana sehemu yeyote tunaongelea siasa sana lakini cha ajabu ni vitu viwili muhimu kwenye maongezi mengi 1. Hatuongelea maendeleo binafsi ya kujiendeleza na cha ajabu maendeleo sisi tunaona kama ni mambo ya kibinafsi isipokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo. Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Michango ya shughuli za maendeleo sasa ni kero. Watumishi tunakamuliwa

    Jamani sijui kama huko mikoani mnaliona hili yaani sasa hivi Wakuu wa Mikoa (RC) wanachangisha taasisi na watumishi tena kibabe. Mara mchango wa nyumba za walimu haijaisha mchango wa mashimo ya choo hajatulia team za mpira michango imetisha jamani. Hasa taasisi binafsi jamani zinakoma yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete ahimiza uwekezaji katika elimu ya sayansi

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amehimiza uwekezaji katika sayansi, hususani katika kipindi hiki ambacho nchi inajielekeza katika uchumi wa kati ifi kapo mwaka 2025. Aidha, Kikwete ametoa mwito kwa waajiri kuruhusu watumishi kujiendeleza kielimu isaidie kuongeza idadi ya watu wenye shahada. Alitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli unazozitoa Rais Magufuli kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa maendeleo hayana chama, mbona inatofautiana sana na matendo ya Serikali yako?

    Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa hotuba zako za mara kwa mara kwenye majukwaa ya kisiasa na ambazo umekuwa ukisisitiza kuwa maendeleo hayana chama na katika nchi hii unasisitiza sana umoja wa kitaifa na hivyo unasihi kuwa nchi hii ni yetu sote na hivyo usingependa ubaguzi wa kivyama wa CCM au...
  18. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe Mfuko wa Maendeleo ya Huduma za Jamii, (Social Services Development Fund)

    Somo tajwa hapo juu lahusika. Naishauri serikali ianzishe Mfuko wa Maendeleo ya Huduma za Jamii (Social Services Development Fund), mfuko huu uwe na jukumu la ku-mobilise funds za kugharamia masuala ya elimu kama kujenga shule za msingi, vyumba vya madarasa, vyoo nk Pili, mfuko uwe unatoa pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Serikali ya awamu ya tano inatumia propaganda ya kuminya Demokrasia katika kivuli cha kuleta maendeleo?

    Tumekuwa tukiwasikia sana watetezi wa utawala huu wa awamu ya tano wakitetea sana uminyaji wa demokrasia unaofanywa na serikali hiyo kuwa ni sahihi kwa madai ya kutumia kivuli cha kuleta maendeleo ya nchi hii. Mifano mikubwa wanayotoa hao watetezi wao ni kasi ya maendeleo wanayodai inafanywa...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati muafaka Oryx Gas kupunguza bei za gesi zao, Mh. Waziri tetea Wananchi kwa maendeleo ya Tanzania

    Kuna siku niliweka mshangao wangu hapa bei ya mafuta ya Uganda ni ndogo kuliko Diesel ama petrol inayouzwa Tanzania. Nikawaza haya Malori yanayosomba mafuta wanasema wanapeleka Uganda wanabeba mafuta ama ulezi. Leo naomba nieleze bei za gesi hapa nchini Kumekuwa na mtafaruku sana hapa kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…