maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65% Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80% Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90% Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo la kujiunga na vyuo vya maendeleo ya Wananchi

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020. Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na maarifa mbalimbali. Aina ya Mafunzo yanayotolewa ni: 1. MAFUNZO YA UFUNDI STADI- NGAZI YA I, II...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa viongozi watatu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

    Rais John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi watatu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, uteuzi ambao ulianza rasmi Januari 30 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo walioteuliwa ni Dkt. Benson Otieno Ndiege ambaye amekuwa Mrajis wa Vyama vya Ushirika...
  4. JamiiForums Tanzania Picha za shule ya msingi Chato; hakika maendeleo hayana chama

    SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha. Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia DR MARA MARWICK aihakikishikia Tanzania ushirikiano mwema kwenye masuala ya Maendeleo

    PROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA. Dar es Salaam, 5 Februari 2020 Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Tanzania, Bi. Mara Marwick ameihakikishia Serikali ya Tanzania ushirikiano katika sekta mbalimbali ili kufikia maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Jambo gani la maendeleo umewahi kulifanya ili kulipiza kisasi cha manyanyaso?

    Habari za Leo wanajamvi, Naomba kujua experience yako ni jambo gani la maendeleo ulilifanya kulipiza kisasi cha kunyanyaswa? Mimi nimewahi kununua baiskeli mpya huko kijijini kwetu Kanda ya Ziwa baada ya manyanyaso ya jirani kuzidi kila tunapoenda kuazima kwake baiskeli. Baada ya hapo nafsi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Hata Marekani na Uingereza bado zinapambana na changamoto mbalimbali za maendeleo

    Rais mstaafu mzee Kikwete amesema binadamu ili awexe kuishi ni lazima apambane na changamoto za kimaendeleo, ndio maana ana ubongo ili aweze kufikiri. Mstaafu mzee Kikwete ameyasema hayo jijini Arusha alipokuwa anafungua mradi wa maji. Kikwete amesema hata Marekani na Uingereza bado hadi leo...
  8. JamiiForums Tanzania Katika praising and worshiping the 5th term gov tuna sahani kuimba maendeleo ya Chato why

    Chato imepata uwanja wa ndege, CRDB bank, uwanja wa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa ya maendeleo ya nchi na Idukilo yetu

    Huku Idukilo leo nimewadokeza kuhusu SGR. Mmoja akafikiri ni kifupi cha neno sigara akaniambia sasa kutufanya sisi tuvute sigara ndiyo maendeleo. Kuhusu flyover mwingine kafikiri ni ndege na kudai kwamba alikuwa anasikia milio tu zikipita kwenda kutua Mgodi wa Mwadui kuchukua almasi...
  10. JamiiForums Tanzania Wanapotukosoa tunawatukana na kuwaita mabeberu, jina linabadilika na kuwaita wafadhili wetu wa maendeleo mara tu wanapoanza kutugawia pesa!

    Ni tabia iliyozoeleka kwa watawala wetu wa serikali ya awamu ya tano kujihami na kuwaita wazungu wa nchi za nje, kuwa ni mabeberu, wanapokuwa wametukosoa katika uimarishaji wa demokrasia, uhuru wa wananchi kujieleza na tunashauriwa tuzingatie haki za binadamu. Lakini kitu cha ajabu ni pale...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kweli wanawake na maendeleo!?

    Mchezo huu ambaye hajawahi kuchezewa anyoshe kidole: Demu anakuhaidi anakuja getoo full kusafisha na perfume inaishia kuumwa milija ya pumbu popote waweze kuchezea Kwa mfanya mwanamke HELA, Gari n.k
  12. E

    JamiiForums Tanzania Sera zetu Wapinzani za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ni 40/60

    Katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo wapinzani sera yetu ya kutekeleza miradi ni kwa ile miradi mikubwa ambayo tunalazimika kutumia makampuni ya nje ni lazima miradi hiyo iwe na not less than 40 % local companies in shares and Key staff and not more than 60 % shares and key staff (Joint...
  13. JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Utangulizi Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

    Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja. Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
  17. JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

    Dodoma 20, 2019 WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Nkenda: Maendeleo vigezo Kipato, Elimu na Afya

    December 18, 2019 Prof. Adolf Mkenda anaelezea vigezo vya maendeleo ya binadamu . NI NGUMU KUJENGA DEMOKRASIA KAMA KUNA TOFAUTI YA KIUCHUMI :prof Aldof Mkenda Kichambua taarifa ya maendeleo. Kipato: Prof Aldof Mkenda amesema tofauti ya kipato katika demokrasia inasababisha kupoteza haki ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mkakati mwingine wa kuendeleza mpunga waja

    Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ambapo alisema lengo ni kuona wanaongeza uzalishaji wa zao la mpunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…