maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzalendo na maana yake kwenye maendeleo katika Taifa

    Habari Tanzania! Naomba niwakumbushe vijana, wazee na watoto machipukizi ya kuwa Uzalendo huwa unajumuisha na kubebwa kifuani na watu wachache. Katika taifa lolote walio wazalendo huwa ni wachache sana na wanauwezo wa kufanya lolote, popote na wakati wowote kwa kuishi katika manufaa ya taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli

    Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli.. Katiba katiba Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha. Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa. Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo. Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  4. JamiiForums Tanzania Miradi ya Kimkakati wa Maendeleo na Ubonereshaji Fursa za Ujasiriamali Zimekwama Wapi?

    Wana Jukwaa Bingwa, Miradi ifuatayo imetupwa kapuni au giza limetanda wananchi hawaoni? 1. Barabara ya mzunguko (Ring road) Km 100-Dodoma 2. Uwanja wa Michezo wa Kimataifa (Dodoma International Stadium)-Dodoma 3. Ujenzi Ikulu Chamwino (State House)-Dodoma 4. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  5. JamiiForums Tanzania Risk and Compliance Manager at Maendeleo Bank PLC

    Maendeleo Bank PLC is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill vacant positions in its staff complements at its Head Office. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals as follows: Risk and Compliance Manager. Job...
  6. JamiiForums Tanzania Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano Hauwezi Kulisadia Taifa Kufikia Dira Yake

    Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania akiwasili Bungeni Kusoma Bajeti ya Serikali 2021/22 I. USULI: KWA NINI NAANDIKA BANDIKO HILI? Bandiko langu lisemalo “Rais Samia Ameanzia Mwanza Kujenga Hekalu Letu” limewafanya wachangiaji kadhaa, wakiongozwa na mwana JF...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli. DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala...
  8. JamiiForums Tanzania Senior Treasury Officer at Maendeleo Bank PLC

    June, 2021 Maendeleo Bank PLC is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill vacant positions in its staff complements at its Head Office. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals as follows: Senior Treasury Officer...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jukumu la Maendeleo ya Mtanzania ni letu sote

    Kama tukitambua kuwa kama wananchi tuna majukumu kadhaa ya kuweza kusaidia kuinua uchumi wa serikali yetu na kusaidia katika ukusanyaji wa kodi. je ni wangapi hukumbuka kudai risiti wanaponunua bidhaa mbalimbali au kupata huduma? Je, tunafahamu ni kiasi gani tunajiibia kwa kutokuwa tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge ndio maadui Wakwanza wa Maendeleo yetu na wanatunyonya

    Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani. Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Stadi za kazi

    Kupitia somo la Stadi za Kazi Wanafunzi hujifunza sanaa na shughuli mbalimbali za uzalishaji kama, uchoraji, ushonaji, mapishi, kilimo, ufugaji Ni sanaa gani au ujuzi ulijifunza kutokana na somo la Stadi za Kazi Shuleni?
  12. JamiiForums Tanzania Protectionism ni hatari kwa Maendeleo ya Viwanda

    Wakati Ujerumani imegawanyika magharibi na mashariki, Ujerumani Mashariki ilishikilia sana hii sera ya protectionism(kulinda viwanda vya ndani). Bidhaa nyingi hazikuruhusiwa kuagizwa toka nje ya nchi hivyo watu wakalazimika kununua kutoka ndani na viwanda vikaweza kuendelea. Siku ukuta wa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ruhusuni wahitimu wa kada ya elimu kuajiriwa sekta nyingine mfano uafisa mtendaji wa kijiji, maafisa maendeleo etc.

    Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungahela: Tanzania haiwezi kuendelea bila viwanda

    Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi...
  15. JamiiForums Tanzania Maendeleo yanaendana na mahitaji ambayo pia huwafanya Wazungu na Wachina kuja Afrika

    MAENDELEO YANAENDANA NA MAHITAJI,MAHITAJI HAYO NDIYO YANAFANYA WAZUNGU NA WACHINA WAJE AFRIKA. Leo 19:30hrs 21/05/2021 Tangu 1st hadi sasa 4th industrial revolution, maendeleo ya ubunifu wa viwanda yamekuwa yakiendana na mahitaji maalum ya matumizi ya “Materials” kuzalisha mashine...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi kuendeleza miradi ya pamoja ya maendeleo

  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu wa pande nyingi tu unaoweza kuijengea Afrika amani na maendeleo

    Tarehe 19, Mei, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa ngazi ya juu kuhusu “kuhimiza ujenzi mpya wa Afrika baada ya janga la COVID-19 na kuondoa mzizi wa mgogoro”. Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi aliendesha mkutano huo. Ikiwa nchi mwenyekiti wa zamu wa Baraza la...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kigoma ni sawa na Makete dini iliingia mapema lakini wamechelewa sana kupata maendeleo, Waha na Wakinga matajiri wa Kariakoo!

    Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana. Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo

    Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo Na Ronald Mutie Utandawazi unavyozidi kukua ndivyo mahitaji ya kujifunza yanaongezeka kutoka kwa nchi moja hadi nyingine. Mojawapo ya vikwazo vya kujifunza hata hivyo imekuwa ni tofauti ya lugha na tamaduni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…