maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shinyanga: TAKUKURU yabaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea

    Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoani Shinyanga imeelezea kubaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

    Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa? Au unapelekeshwa Kama boya?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wa “msaada kwa biashara” unaweza kuishia kuwa mkakati wa kujiaibisha

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bibi Liz Truss alitangaza mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wenye lengo la kuendana na mazingira ya sasa ya changamoto za dunia, na kuendana sana na mkakati wa Marekani. Akitangaza mkakati huo, Bibi Truss amesema Uingereza...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu wanakua/wanapata maendeleo wakiwa wadogo?

    Ni jambo la kawaida unakuta kijana wa miaka 19 hadi 23 amesha Settle kwenye career yake, kwa mfano kijana wa kizungu kabla ya miaka 20 tayari ana hold computer certificate zenye kuheshimika like OSCP etc, na anafanya mambo makubwa, wakati huku kwetu unakutana na mwanafunzi wa Computer...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania itapata maendeleo makubwa iwapo fedha nyingi zitawekezwa kwenye tafiti na miradi ya uzalishaji na sio kwenye siasa

    Wakuu! Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji. Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA. Miradi ya uzalishaji...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

    Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
  9. JamiiForums Tanzania Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

    Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira! Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa Ni ama kuna Uhuni...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwanaisha Ulenge: Hakuna usawa katika upatikanaji wa Elimu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua...
  11. JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  12. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, written interview

    Hello, Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
  13. JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

    ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu. Huenda tusijue...
  15. JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa Wananchi katika mipango ya maendeleo ndio chachu ya maendeleo

    Inaelezwa kuwa utendaji wa viongozi wa vijiji umekuwa ukikabiliwa na changamoto mbalimbali kutokana na viongozi wengi kutokuwa tayari kushirikisha wananchi katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali. Hali hiyo inadaiwa kusababisha kukosekana kwa uwazi katika masuala la mapato na matumizi na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Trust me, Kama Watanzania wote tungefanya hivi tungekuwa na maendeleo makubwa na matajiri sana

    Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua . Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna Mbunge hajui kama kuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025? Tulikosea 2020, tujisahihishe 2025

    Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha, Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama? aliombaje kura kwa Wananchi kama hajui chochote? je anajua yuko bungeni kwa kazi? akiwa kama Mwenyekiti...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

    Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia. Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu. Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
  20. JamiiForums Tanzania Sasa tunataka Tuone Maendeleo Fungate limeisha. Rais umeshaongea sana anza kutenda. Haya tumeshayasikia sana

    Magufuli alishafariki na mabaya yake na mazuri yake. Sasa tupige kazi. Kazi ipi hiyo? Kazi iendelee ipi? Ya kuibia wananchi? Ipi? Ya kupeana vyeo kwa kujuana?ipi? Mi sijui. Ila kazi iendelee vijembe havitatusaidia kitu. Marehemu hayupo tena nasi. Hana la kujitetea. Na hatuwezi pata umaarufu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…