maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maoni: Ubinafsi na uchoyo ndio huchangia zaidi kabila kukosa maendeleo

    UBINAFSI Ni tabia ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine hutaki wengine wawe kama wewe pale unapokuwa na nafasi fulani kudharau wengine Katika baadhi ya makabila kuna watu miongoni mwao wamepata nafasi kubwa ya kuwasaidia wengine lakini wameshindwa kwa sababu ya ubinafsi matokeo yake jamii zao...
  2. JamiiForums Tanzania Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili. Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
  3. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais Ikulu kutumia Tsh. Trilioni 1.1 mwaka 2023/24

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  5. JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais samia aahirisha tena sherehe za muungano, aagiza mikoa ifanye shughuli za maendeleo siku hiyo

    Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za gwaride na badala ameelekeza kufanyika kwa shughuli za maendeleo katika ngazi za mikoa. Hii ni...
  7. JamiiForums Tanzania Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

    Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali. Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu. Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
  8. JamiiForums Tanzania Majimbo 214 kuchota bilioni 15.9 kuchochea maendeleo ya wananchi jimboni mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
  9. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Mradi wa SGR Morogoro - Makutupora

  10. JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Heri ya Pasaka wana JamiiForums, Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum. Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member. Naamini JF itakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nichague Mataifa Matatu tu ya Wananchi wanaojielewa, werevu wapenda Haki, Maendeleo na siyo Waoga nitachagua haya...

    1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
  12. JamiiForums Tanzania Wamachinga Dar wafurahia mikopo inayosimamiwa na Benki ya Maendeleo

    Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASSO) katika kipindi cha mwaka huu wamesema kuna mwanga mpya wa fursa kupitia kwa wadau wa Banki Maendeleo kwa kuwa 2023 Benki hiyo inatarajia kuwafikia Wamachinga zaidi ya elfu tano,pamoja na makundi ya Wanawake na vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kitanzania kuwa na mawazo yenye tija na maendeleo ya baadae

    Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama na mifumo ya sheria inaturudisha nyuma kwenye maendeleo

    Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma. Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango ya maendeleo kijijini

    Maandalizi ya mazishi ya Sophia Mohamed (40) mkazi wa Kijiji cha Kipereza Kiteto akidaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango sambamba na mimea yake kuathiriwa na jua. Picha na Mohamed Hamad. Kiteto. Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Mkoa wa Manyara, Sophia Mohamed (40) amejinyonga hadi...
  16. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali unganisheni BRELA, TIC, EPZA, TANTRADE kwa maendeleo ya Taifa

    Salaam Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na wenye viwanda sambamba na kuvutia uwekezaji. Tatizo Kwa maoni yangu ni wingi wa taasisi zinazofanya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo

    Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia, Demokrasia ni msingi wa maendeleo

    Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi Vyama vya siasa kupewa nguvu sawa ni mihimu ili kuwe na ushindani wa hoja kwa maendeleo ya nchi. Hii ndiyo kazi kubwa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ziara ya Daniel Sillo Katika Jimbo la Babati Vijijini Kukagua Miradi ya Maendeleo

    ZIARA YA MHE. DANIEL SILLO KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti bungeni Mhe. Daniel Sillo ameendelea na ziara katika Jimbo la Babati Vijijini ambapo ametembelea Vijiji 66 kati ya Vijiji 102 vya babati...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo: Tushirikiane tulete maendeleo, tuache alama ya kudumu Korogwe

    DC JOKATE MWEGELO - TUSHIRIKIANE TULETE MAENDELEO, TUACHE ALAMA YA KUDUMU KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameshiriki Siku ya Wnawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 Ulimwenguni kote ikiwa na Kauli Mbiu: "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia, Chachu Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…