Ofisi ya Rais Ikulu kutumia Tsh. Trilioni 1.1 mwaka 2023/24

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,042
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya Kawaida na Maendeleo Tsh. Bil. 181.99, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Matumizi ya Kawaida Tsh. Bil. 10.8 na Maendeleo Tsh. Bil. 1.9

Menejimenti ya Utumishi wa Umma Tsh. Bil. 57.13 Matumizi ya Kawaida, Maendeleo Tsh. Bil. 12.187, Sekretarieti ya Ajira Matumizi ya Kawaida Tsh. Bil. 10.13 na Maendeleo Tsh. Bil. 2.5, Utumishi wa Umma Matumizi ya Kawaida Tsh. Bil. 8.3 na Maendeleo Tsh. Mil. 300 na Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Maumizi ya Kawaida Tsh. Bil. 3.8 na Maendeleo Tsh. Mil. 450

Vipi Mdau, una maoni gani kuhusu mgawanyo wa Bajeti hii?

BUNGE TANZANIA
 
Wizara hizo zilizopo ofisi ya Rais ziondolewe huko ....
Ofisi ya Rais ibaki ofisi ya Rais
 
Mbona fresh tu!...si Ikulu ziko mbili Dsm na Dom au sio? Kumbukeni kuna miujenzi pia! Sio kila kitu kulalama tu! Ebo! Stupid! in Mama Samia's voice
 
Dahh... Halafu wanatuita Watanzania wanyonge na maskini.
Wajanja wamemtengea 32bilioni kumpiga upofu..
 
Back
Top Bottom