maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
  2. JamiiForums Tanzania Songwe: Mkusanya mapato ashtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma. Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji Katika Kuimarisha Maendeleo ya Jamii

    Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, na haki za binadamu. Uwajibikaji, kwa upande mwingine, ni wajibu wa viongozi na taasisi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii maendeleo ya technolojia yatachelewa sana

    Nchi nyingi za Africa tupo nyuma kitechnolojia kwa sababu kuu mbili. 1. Ukifanya jambo zuri kuhusu technology wanaishia kukusifia tu. Baada ya muda unasahaulika. Project nyingi tunaziona tunazisifia tunasahau. 2. Ukifanya jambo baya kuhusu technology unaishia kupewa kesi badala wakutumie wewe...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Uwajibikaji katika Maendeleo ya Jamii: Jinsi Wananchi Wanavyoweza Kuchangia na Uchambuzi wa Viwango vya Uwajibikaji katika Sekta Tofauti

    UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uwajibikaji ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii. Ni jambo ambalo linahitajika kwa kila mmoja wetu kuchukua...
  7. JamiiForums Tanzania Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia

    Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia. Leo tutaangazia baadhi ya changamoto hizo na jinsi zinavyoathiri familia zetu. 1.Tofauti za Majukumu na Wajibu.Mfumo wa familia umebadilika sana, na sasa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha mahojiano ya ajira kwa vijana: Chachu ya maendeleo ya Taifa

    Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia maswali mbalimbali pia upimaji wa ujuzi kupitia uoneshaji wa vitendo. Leo hii ninapenda kuangaza...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje. Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia. Sharia haijaacha...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa motisha kwa wafanyakazi

    Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
  11. JamiiForums Tanzania Sielewi mpango w serikali katika kuchochea maendeleo ya sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi

    Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu,Sayansi na teknolojia,sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini,na katika kudadavua mchanganuo wa bajeti waziri ameorodhesha mgawanyo wa bajeti hiyo lakini sijaona...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania

    Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na kujua nini kifanyike katika mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa na ujuzi wa elimu mbalimbali hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Jacqueline Kainja akubali kasi ya maendeleo Jimbo la Kaliua

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA AKUBALI KASI YA MAENDELEO JIMBO LA KALIUA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja akiwa Kata ya Kamsekwa Wilaya ya Kaliua katika Uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake amesema kuwa Kaliua imebadirika, siyo kama zamani kwani imepiga hatua kubwa kimaendeleo...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko au maendeleo ya dunia, huja na maumivu!!

    Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie. Unataka kutajirika, basi itakubidi uanze kuamka saa kumi na mbili asubuhi na kulala saa saba usiku, ni lazima...
  18. JamiiForums Tanzania Igunga Mlitupa Kura Tunawalipa Maendeleo

    MBUNGE NGASSA: "IGUNGA MLITUPA KURA, TUNAWALIPA MAENDELEO" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amefanya Ziara ya Kikazi Jimboni kwa kufanya Ziara kwenye Vijiji vinne vya Kata za Mwamashimba na Mwamakona. Mheshimiwa Ngassa (MB) amefanya Mikutano Kwenye Vijiji vya Mwanyalali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukipata ajira kijijini furahi

    Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…