maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Falsafa ya Julius Nyerere: Uwajibikaji na Utawala Bora kama Msingi wa Maendeleo ya Kijamii katika Afrika

    FALSAFA YA JULIUS NYERERE: UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KAMA MSINGI WA MAENDELEO YA KIJAMII KATIKA AFRIKA Imeandikwa na: Mwl.RCT I. Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii, hasa katika nchi za Kiafrika. Julius Nyerere aliamini katika uwajibikaji...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo ya Kweli: Kuhusisha na Kuwezesha Wananchi

    MAENDELEO YA KWELI: KUHUSISHA NA KUWEZESHA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Maendeleo ya kweli ni mchakato unaohitaji ushiriki wa wananchi wote. Ili kufikia maendeleo haya, ni muhimu kuhusisha na kuwezesha wananchi ili waweze kuchangia katika maendeleo ya jamii zao. Katika makala hii, tutajadili...
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia ya China yamekuwa na manufaa makubwa kwa nchi za dunia ya tatu

    Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea kujienga China kuwa nchi yenye nguvu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia, huku ikifanya juhudi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utalii mamboleo kwa maendeleo ya taifa

    Utalii; Ni kitendo cha mtu au kundi la watu kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudan, biashara, kujifunza au makusudi mengine (Wikipedia, 2023). Utalii kwa Tanzania hivi sasa imekua ni sekta inayochangia takribani 25% ya pato la taifa na hii ni kwa mujibu wa hotuba...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Natamani viongozi wote wangekuwa na mimi utotoni

    Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba kwani huchoki? "Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe" Hayo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora: Mabadiliko yanayohitajika Tanzania

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ukosefu wa uwazi, na udhaifu katika utekelezaji wa sheria...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora na maendeleo

    Utawala Bora unahitaji uwajibikaji kutoka kwa serikali kwa watu wake. Ili kuhakikisha kuwa watu wanalindwa, serikali inahitaji kufanya kazi kwa uwazi na kutenda kwa haki. Ni muhimu kuweka mifumo ya uwajibikaji wa watumishi wa umma na kutoa taarifa zote zinazohusiana na utumishi wa umma. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji kichochezi cha Maendeleo na Demokrasia

    Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii muhimu inahusuiana na namna ambavyo taasisi mbalimbali, ikiwemo na serikali zinavyoweza kuhusika...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania?

    Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania? Je, ni upi umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo? Je, Dira ya Maendeleo ya Tanzania inahusu uelekeo wa nchi pekee au kuna zaidi ya hivyo? Ungana nasi katika...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Maendeleo ya Watu

    Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika kuleta maendeleo kwa wananchi hasa wale wenye uhitaji zaidi na hawana mtu wa kuwasemea changamoto zao...
  16. O

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora kwa maendeleo endelevu

    UTAWALA BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tanzania, kama taifa lenye lengo la kufikia maendeleo endelevu, inahitaji kuzingatia utawala bora katika nyanja zote za maisha ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Tulivyochangishana Michango ya Sherehe, Sasa Tuanze Kuchangishana Michango ya Maendeleo

    Katika maeneo ambayo Watanzania wameonesha ushirikiano wa hali ya juu mno, ni kwenye masuala ya sherehe. Wengi wanaoshirikishwa wamekuwa wakitoa ushirikiano murua kuanzia kwenye uuandaji kamati, kuchangisha michango na hata kula na kunywa. Miongoni mwa shughuli za sherehe ambazo zimekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Watumishi wa Umma kwa maendeleo endelevu

    Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Kofi Annan | “Utawala bora labda ndio sababu muhimu zaidi katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo”

    Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images UTANGULIZI Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan, uongozi bora ni labda sababu muhimu zaidi katika kufanikisha malengo haya. Kwa hiyo, ni muhimu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ahueni kwa jamii

    Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi. Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…