maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    China yapata maendeleo makubwa katika ujenzi wa miundombinu

    Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
  2. think tank01

    Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  3. J

    Shaka awahakikishia wadau kuwa CCM itashirikiana na kila mwenye nia njema kwa maendeleo ya Tanzania na Watanzania

    Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana tarehe 28 Septemba, 2022 walimtembelea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ofisini kwake Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha, kueleza kazi...
  4. ommytk

    Hii biashara kuuza mwili mpaka vijijini kweli maendeleo yanakuja kwa kasi

    Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi...
  5. Jidu La Mabambasi

    Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake. Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy. Hivyo ndivyo ilivyo...
  6. ommytk

    Wahindi na Wanigeria: Kwanini hizi jamii zipo mbali kielimu na kiuchumi?

    Ebu leo naomba tuangalie hizi jamii mbili katika ya wahindi na wanaigeria hivi kwanini awa watu wanapiga atua. Pia uwezi kwenda sehemu ukamkosa kati ya awa watu wawili pia ukiangalia ata kwenye utajiri wa Dunia wapo aiseee. Hizi jamii mbili kwakweli zipo mbali kimaendeleo ata kielimu na...
  7. Mung Chris

    NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  8. N

    MIRADI YA ELIMU INAENDELEA KUTEKELEZWA NA AWAMU YA SITA

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shiligi bilioni 752 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET). Shughuri zitakazotekelezwa kupitia mradi huu ni ujenzi wa miundombinu mipya na kukarabati iliyopo...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
  10. asiliyetu kwanza

    Nchi za Jumuiya ya Ulaya ni janga kuu la maendeleo la nchi za Afrika

    Najaribu sana kufikiria, je Afrika utapataje maendeleo endapo Kila kitu ambacho tunachotaka kufanya cha maendeleo yetu ulaya inapinga, inatoa vijisababu vya ajabu ajabu mpaka unakosa majibu Nia Yao ni nini hawa jamaa.ninachokiona hawa wazungu hawana mpango mzuri na watu wa Afrika. Haiingii...
  11. K

    SoC02 Anuani za Makazi zizingatiwe kuleta maendeleo

    ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
  12. amranik

    SoC02 Mawazo biriani chanzo cha kuchelewesha maendeleo kwa vijana

    MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
  13. GENTAMYCINE

    Naiona sura ya Rais Ruto, ila Utendaji madhubuti wa maendeleo na uthubutu kama alionao 'Genius' President Kagame

    Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda 'Genius' Paul Kagame tofauti na wengine ambao aliishia Kuwasalimia tu. Nimeweza kufuatilia Hotuba...
  14. Kgy26

    SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  15. Let_Clarity

    SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
  16. Fauster Mlilimko

    SoC02 Iko wapi dhana ya uwajibikaji?

    Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja, Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...
  17. Kabula Aaron Elias

    SoC02 Kilimo kwa maendeleo

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula kwenye mashamba na ufugaji wa wanyama wanaofugwa. Lakini pia kilimo kinahusisha ufugaji wa nyuki na ufugaji wa samaki. Aidha kilimo ni moja ya sekta kuu ya maendeleo kwa nchi na hivyo basi inatakiwa kuangaliwa na kufatiliwa kwa...
  18. Philombe Jr

    SoC02 Tuwekeze zaidi kwa watoto na vijana kwa maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
  19. N

    SoC02 Elimu ya juu kwa maendeleo ya Tanzania

    ELIMU YA JUU TANZANIA Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa mafanikio ikiwa na maana ya kuwa ni wajibu wa kila mtu kuipata bila kuzingatia hali ya Maisha, jinsia...
  20. cupvich

    SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

    Utangulizi. Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
Back
Top Bottom