maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    SoC02 Kilimo kwa maendeleo ya jamii

    KILIMO KWA MAENDELEO YA JAMII Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba, kilimo kinajumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, ndege, nyuki, na uvuvi wa samaki. Kilimo ni uti wa mgongo kwa uchumi wa nchi zote zinazoendelea. Asilimia 95% ya vyakula, na mavazi tunavyotumia...
  2. M

    Fahamu Tozo za Miamala ya Simu Ilivyochangia Maendeleo Katika Taifa

    1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu. 2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja. 3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila...
  3. CK Allan

    SoC02 Kama ni kweli tunataka kushirikiana na Wananchi wanyonge kujiletea maendeleo basi yafanyike haya!

    Kwanza nisema huwezi kuunganisha nguvu ya Tajiri na Mtu mnyonge maskini zikawa kitu kimoja, Simba yenyewe pamoja na kwamba Ina Mashabiki wengi na wanachama Bado inajiita Nguvu Moja!! (Hapa nimetania tu😆). Jana wakati mheshimiwa waziri wa Fedha anatetea Tozo alisema mambo mengi sana lakini Mimi...
  4. DENG XIAOPING

    Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
  5. T

    SoC02 Uhusiano kati ya usafi wa mazingira na maendeleo

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi. Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli za kibinadamu mfano utupaji hovyo wa Taka. Usafi wa mazingira Inauhusiano mkubwa sana katika...
  6. N

    SoC02 Uchawi na Ushirikiana unavyoathiri maendeleo ya taifa

    Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla. Katika mchi kuna makabila mbalimbali zaidi ya 150 kila kabila lina utamaduni wake na imani zake. Katika...
  7. P

    SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  8. S

    SoC02 Maendeleo ya leo

    Jamii ya sasa imekuja na nadharia ya maendeleo ya Leo ambayo kwa kiasi Fulani imeshika hatamu katika kuifanya jamii iache kufata utamaduni wao . Nadharia hiii ndiyo iliowavisha dada zetu vimini na suruali mbano hadharani wakiamini ndio maendeleo ya Leo. Nadharia hiii ndio iliwafanya vijana...
  9. E

    SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  10. Godwin Matiko

    SoC02 Uwajibikaji na Maendeleo

    UWAJIBIKAJI NA MAENDELEO Palikuwa na kazi ya muhimu kufanyika na kilamtu aliamini kwamba mtu fulani angeliweza kuifanya. Mtu yoyote angeliweza kuifanya, lakini hapakuwa na mtu aliyeifanya. Mtu mmoja akapata kufadhaika kwa kazi kutokufanyika, kwasababu ilikuwa ni kazi ya kilamtu. Kilamtu...
  11. DaudiAiko

    Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  12. politicians

    SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  13. N

    SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  14. R

    Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  15. Impimpi

    SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  16. D

    SoC02 Uboreshaji wa huduma za afya unavyoweza kuchochea maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika vituo vya afya na hospitali,ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya, malipo bora kwa...
  17. N

    Tuendelee kushiriki zoezi la sensa kikamilifu kwaajili ya maendeleo yetu

    Ni watu wangapi wanaojishughulisha na Kilimo? Ni watu wangapi wanaohitaji mbolea ya Ruzuku? Ni mtu mwenye takwimu pekee anayeweza kujibu maswali haya muhimu kwaajili ya mipango ya kimaendeleo. Siku ya tatu sasa, baada ya zoezi la Kitaifa la Sensa ya watu na makazi kuanza rasmi na mfano...
  18. Lanlady

    Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  19. G

    Sensa kwa maendeleo? Hapana

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo. Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi...
Back
Top Bottom