maembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. green rajab

    Apache za Marekani zinashushwa kama maembe huko Syria

    ‼️BREAKING: 🇺🇸🇸🇾 An American Boeing H-64 Apache helicopter has reportedly crashed in Syria. Making it the 3rd loss in 72hrs. 8 have now crashed this year. Looks like the US has lost more choppers during training and scouting missions than Russia has done in Ukraine this year...
  2. Chizi Maarifa

    Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi. Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu. Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
  3. Top007

    Nauza maembe Jumla

    Niko Kibamba CCM . Bei 300 Tsh kwa embe moja . Aina dodo na apple Piga: 0678650509
  4. D

    Biashara ya maunda ( maembe)

    Salaam alaikum wajumbe. Jamani nilikuwa na wazo la kuanzisha kilimo Cha matunda hasa miembe ya kisasa na sababu zilizopelekea ni pamoja na kwambaa baada ya miti hii kukua ni rahisi sana kuiangalia sababu haihitaji uangalizi mkubwa hasa ikianza kustawi na kuzaa. Sababu nyinginezo ni kwambaa...
  5. A

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
  6. lwambof07

    Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
  7. B

    Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

    https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
  9. Analogia Malenga

    Vitalis Maembe aachiwa kwa dhamana

    Msanii Vitalis Maembe aliyekamatwa na Polisi Novemba 2 kwa tuhuma za kuimba nyimbo zenye kuwakashifu viongozi amechiwa kwa dhamana Maembe alitakiwa kuripoti kituo cha polisi Dunda mjini Bagamoyo ambapo baadae alihamishiwa Kibaha ambako ndiko alikoachiwa leo
  10. Idugunde

    Zitto Kabwe: Vitalis Maembe aachiwe mara moja, anaonewa.

    Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
  11. Analogia Malenga

    Msanii Vitalis Maembe anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za “kuimba nyimbo za kuitukana Serikali”

    Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali. Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha...
  12. D

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
  13. MK254

    Maembe ya Kenya yapita mtihani na kukubalika Italy, sasa ni mwendo wa biashara

    Tunaendelea kutanua soko la matunda yetu Ulaya na Mashariki ya mbali...mkulima wa Kenya ushindwe mwenyewe. Kilimo biashara ndio mwendo sasa..... ================================= Kenya’s mangoes have received a clean bill of health in Italy in a major boost to growers as the country prepares to...
  14. K

    Vitalis Maembe ni hazina, mashairi yake Yana fikirisha

    Habari za usiku. Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana. Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua... Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
  15. I

    SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  16. T

    Ni sehemu gani inakuzwa mananasi, maembe, na machungwa, ambapo mtu anaweza jenga kiwanda cha juice

    Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi. Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
  17. kilimo matunda

    Kilimo cha maembe

    Aina za miti ya maembe Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara. Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au rangi ya chungwa inapoiva, matunda haya ni ya kiwango cha kati na kubwa, yenye muonekano wa mviringo...
Back
Top Bottom