maembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maembe ya Kenya yapita mtihani na kukubalika Italy, sasa ni mwendo wa biashara

    Tunaendelea kutanua soko la matunda yetu Ulaya na Mashariki ya mbali...mkulima wa Kenya ushindwe mwenyewe. Kilimo biashara ndio mwendo sasa..... ================================= Kenya’s mangoes have received a clean bill of health in Italy in a major boost to growers as the country prepares to...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vitalis Maembe ni hazina, mashairi yake Yana fikirisha

    Habari za usiku. Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana. Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua... Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
  4. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani inakuzwa mananasi, maembe, na machungwa, ambapo mtu anaweza jenga kiwanda cha juice

    Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi. Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
  6. kilimo matunda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe

    Aina za miti ya maembe Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara. Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au rangi ya chungwa inapoiva, matunda haya ni ya kiwango cha kati na kubwa, yenye muonekano wa mviringo...
Back
Top Bottom