maelfu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania USA yatoa maelfu ya mabomu yatakayotumika kufumua Rafah

    Gaidi lazima apigwe mpaka damu imtoke maskioni....... The US in recent days authorized the transfer of billions of dollars worth of bombs and fighter jets to Israel, according to two sources familiar with the effort, Reuters reported on Friday. This is despite Washington’s public expresses of...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

    Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu . Hii ni leo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

    Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu kinachotamba. Waarabu weusi wa Bongo akina brazaj kutwa wanalia lia kuhusu Waarabu wa Palestina...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yanini kusherehekea siku ambayo maelfu ya watu wasio na silaha wala hatia waliuliwa Zanzibar (12/01/1964)

    Historia huwa inapitia msururu mrefu wa matukio.Yapo matukio ambayo mwanzoni huenekana ni sehemu ya historia nzuri lakini kadri muda unavyokwenda watu hujutia historia hiyo na hatimae kuamua kubadili hisia. Matukio ya aina hiyo ni kama yale ya utumwa barani Amerika na ukoloni uliofanywa na...
  6. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mdau hivi wale Kalyanda waliotapeli maelfu ya watanzania unahisi watakuwa wamechukuliwa hatua za zozote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba Kampuni ya kalyanda ni kampuni iliyotapeli maelfu ya watanzania mtandaoni, lakini licha ya kufanya uhalififu huu mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali. Hivi inaamana kwamba hawa wezi wa kalyanda wameshindwa kufahamika au hawatambuliki jibu ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni nani huwa anafaidika na maelfu ya mamba nchini? Je, huwa wanaliwa?

    Hii mada haihusiani kabisa na huyo mamba wenu mkubwa. Mimi nataka kujua tu hawa mamba maelfu kwa maelfu huwa wanamnufaisha nani? Je, huwa wanaliwa? Ila wao kila mwaka wanajeruhi watu kibao. Kwa nini isiwepo operation ya kuwaua?
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

    Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza. Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Waisrael waandamana dhidi ya Netanyahu, wasema anaiangamiza nchi

    Photos: Israelis protests against Netanyahu in front of his residence Israelis have staged a demonstration in front of the West Jerusalem residence of Israeli PM Netanyahu, chanting slogans and carrying banners against him. “Netanyahu is the biggest disaster to the state of Israel,” read one...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda Msafara wake wasimamishwa na maelfu ya wananchi wa Ilemela

    📌📌 WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali Wilayani Ilemela wamesimamisha msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nkasi Kaskazini: Oparesheni 255 yapokelewa kwa Shangwe, Maelfu ya watu wahudhuria Mkutano

    Kama tulivyoahidi hapo awali , Oparesheni 255 yenye lengo la kuwakumbusha Wananchi umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafungua macho wananchi hao ili wajionee ubovu wa Mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai , imefika Nkasi Kadkazini. Kwenye Jimbo hilo kumetokea Mshangao...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

    Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

    Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu. Kitu wengi wasichokifahamu, hao...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bunda: Kitimtimu cha Oparesheni 255 kimewaka, Lissu apokelewa kishujaa, Maelfu Wajitokeza

    Hakuna namna nzuri ninayoweza kueleza mapokezi ya Tundu Lissu Mjini Bunda , itoshe tu kusema haya ni mapokezi ya kifalme , watu ni wengi kuliko maneno yangu . Hakika kwa Chadema ni dhahiri sasa kwamba gari limewaka ! Si rahisi tena kuzuia Chadema kwa hali ilivyo , Uchawi na Fitna zote...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu wamuombea dua Rais Samia

    MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dua hiyo imefanyika leo (Julai 28,2023) ikifanyika katika kipindi ambacho Rais Dkt. Samia anaungwa mkono...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakati ni maelfu ya wanafunzi hudahiliwa kila mwaka hapo Law School, ni mawakili 195 tu watakaosajiliwa rasmi. Nyomi huishia wapi?

    Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204 Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
Back
Top Bottom