madogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  2. appoh

    Mambo madogo yanaanza kua mkubwa kidogo kidogo

    Wanayotaka wananch wasikilizwe kabla hali haijawa mbaya tuna nafas kubwa sasa ya kubadilisha hali hii
  3. Sales man

    hawa madogo wa buku bee mlikuwa mnawadharau ila ndo wameipa nchi heshima mpaka sasa .

    ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
  4. N

    Marekebisho madogo ya tatizo la kiufundi yanayoweza kuangaliwa na kufanyiwa kazi hapa jamiiforums

    Habari zenu wanajamii, Problem Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni hata kwa watumiaji wa kawaida kuliona, hali inayopelekea matatizo mengi kwa mtumiaji ikiwemo...
  5. AskariKanzu

    Usimuache Dogo na Shemeji yake Nyumbani, Unatengeneza bomu la Nyuklia!

    Bro makinika awa madogo janja mnaowaleta town kusikilizia michongo itiki muwe nao macho, mnapo waacha nyumbani na shemeji zao unatengeneza bomu la nuclear. Husimruhusu mdogo wake akae tu nyumbani na shemeji yake unakuta vyumba vyenyewe unavyo viwili tu unamuita dogo wanini? Muite dogo baada...
  6. third eye chakra

    Haya ni mambo madogo sana kwa wengine, ila kwangu ni magumu sana kiasi cha kushindwa kuyafanya au kushiriki kabisa

    1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani. Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi. hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko...
  7. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
  8. ELI COHEN

    Aise hawa madogo wa PSG wanapiga mpira, wala hawana striker ila mawinga wao wanazunguka kugawana nafasi tatu za ushambuliaji. Counter pressing hatari!

    Ingawa ligi yao ni ya wakulima ila wanaonesha katika UCL kuwa ni tishio, wakipoteza hii UCL ni uzembe wao.
  9. cold water

    Nifanyeje madogo wasiingie chumbani ninakolala

    Aisee,nipo nyumba ya kupanga nimeweka dressing table Ina kioo, wadogo zangu wanapenda kunitembelea, wakifika tu kunitembelea lazima wazame chumbani niwepo nisiwepo,hata nisipokuepo lazima utakuta mabadiliko chumbani,nikasema isiwe kesi niweke kioo full sebureni hapa nilipoweka kochi na tv lakini...
  10. ELI COHEN

    Hivi hawa madogo wa sasa wa samba boys kweli wataifikia kiwango hii brazil ya kipindi kile

    Na hapo unaambiwa ronaldo alikuwa ana kilo kama 5000 hivi 😁😁 https://youtube.com/shorts/PwnEbSL0oX8?si=GA4CBzUUyhrbYj5s
  11. matairi Bora ya scania

    Tunauza Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo karibu wateja

    Ofa ofa ofa 🤗🤗🤗🤗🤗 karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka. Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana. Location Vingunguti karibu na sido, Dar es salaam, Tanzania. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam...
  12. Fbn

    “Pepsi Yageuka Superpower: Ilivyokuwa na Jeshi Kubwa Kuliko Mataifa Madogo!”

    Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange restrictions). Umoja wa Kisovieti haukuwa na upatikanaji rahisi wa dola za Kimarekani kwa ajili ya...
  13. matairi Bora ya scania

    Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Ofa ofa ya mwezi mtukufu wa ramadhani karibu ujipatie matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo Kwa bei nafuu. Tunauza matairi ya brands zote size zote za matairi zinapatikana. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wote mteja kwetu...
  14. matairi Bora ya scania

    Karibuni wateja wote wa matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte. Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
  15. Jack Daniel

    Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  16. Bob Manson

    Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
  17. crome20

    Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs. Sasa tofauti ni wapi?
  18. Cute Wife

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...
  19. V

    Mabantu nyie madogo sio poa

    Mm kunichekesha si rahisi sana ila hawa madogo wanaitwa MABANTU Leo nimeona video yao inaitwa Mali safi nimecheka. Safi vijana tumechoka tu kuona vixen wenye chura kwenye video za bongo.
Back
Top Bottom