madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

    Kama hujaelewa hapa basi utakuwa na Chuki binafsi ====== Akihojiwa na Mwananchi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameeleza haya: Kwanza hamna taharuki kubwa kwa huu mwaka kama ilivyokuwa mwaka 2020. Mwaka wa 2020 tatizo hilo lilivyotekea taharuki haikuingia tu Tanzania, ilikuwa dunia...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Bariadi nakuunga mkono 100% kwa hili la watendaji wa Tume ya Madini kuwaingilia

    Nimesoma taarifa za kikao kilichohusisha viongozi wa serikali ya mkoa wa simiyu na wizara ya madini chini ya kaim Afisa madini wa mkoa Ndg. Kumbulu. KWANINI NAUNGANA NA MKUU WA WILAYA MH. KISWAGA Mtu yeyote afatilie leseni zote za madini katika nchi hii, na wavumbuzi wa madini katika leseni...
  3. JamiiForums Tanzania Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!

    Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kufufua mgodi wa Buzwagi uliofungwa na Acacia kwa madai ya Madini kuisha Ardhini

    PAMOJA na mmiliki wa sasa wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi, kampuni ya Acacia Mining, kutangaza kutaka kufunga mgodi wake, serikali ya Tanzania imesema, mgodi huo, uatendelea kufanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Acacia iliamua kuufunga mgodi wake wa Buzwagi, uliyopo...
  5. JamiiForums Tanzania Madini au jiwe gani?

    Wakuu habari ya asubuhi, Hili jiwe ni aina gani, lina rangi ya kijani, ni duara kama goroli ukilipiga mwanga ndani kama lina majimaji na linatoa mwanga wa kijani. Je ni madini,ama ni goroli ya aina gani? Wataalam mnaojua mambo haya mnifafanulie.
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  7. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa Madini (Wanaapolo) watakaotorosha madini ya Tanzanite kufungiwa miaka 10

    CHAMA Cha wachimbaji wa Madini ya Tanzanite Mkoa wa Manyara (MAREMA) kimewatahadhalisha wachimbaji wadogo wa madini hayo(Wanaapolo)wanaojihusisha na utoroshaji wa madini kuacha mara moja kwani kwa kufanya hivyo watakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kuingia mgodi wowote wa madini nchini kwa miaka...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ichunguze vizuri Wizara ya Madini, kuna baadhi ya viongozi wa juu wana maslahi katika utendaji wao

    Mh. Waziri mkuu nimekuandikia huu ujumbe nikiamini wewe au watu wako, au watu wakitengo wataisoma hii na kukufikishia. Hivi majuzi kunamgodi nimesikia umeibuka maeneo ya mkoa wa SIMIYU kata ya DUTWA kitongoji cha LUBAGA kilicho mpakani mwa wilaya ya Busega na Bariadi. Baada ya wananchi kuibua...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini amvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya kwa utoroshaji madini

    Waziri wa Madini Dotto Biteko, amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya, na kuwasimamisha kazi wafanyakazi watatu huku pia akifuta leseni za wachimbaji mbalimbali ambao wamevunja taratibu Sababu imeelezwa kuwa ni utoroshwaji wa madinI uliokuwa ukifanyika
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nchi haina wataalam wa madini?

    Baraza la mawaziri la Sasa limepata changamoto na ukosoaji mkubwa kwa mambo makuu matano; 1. Halina Waziri full kutoka Zanzibar 2. Halina uwiano wa jinsia 3. Linatuumiwa kuhusu udini na ukanda 4. Wabunge wakuteuliwa kuingia kwenye baraza huku wakiwemo wabunge zaidi ya 300 wamajimbo ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Manya aapishwa kuwa Naibu waziri wa Madini. Rais Magufuli ataka wachezaji waliochaguliwa wakachape kazi kwani ana 'Reserve' wengi

    Profesa Shukrani Elisha Manya, ameapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini, baada ya Francis Kumba Ndulane kushindwa kuapa na kuteuliwa mwingine Manya ni mbunge wa kuteuliwa aliyeapishwa masaa machache yaliyopita katika viwanja vya bunge na Spika wa Bunge. Job Ndugai Kassim Majaliwa amuambia rais...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ndulane alibobea kwenye michezo Mwanyika alibobea kwenye Madini

    CV ya Naibu Waziri wa Madini inakatisha tamaa kuona anapewa sehemu nyeti kiasi hiki. Uwekezaji uliofanyika kwenye Madini unahitaji msimamizi mwenye business mind kama akina Mwanyika ambaye anaelewa michezo na sarakasi za mabeberu na makaburu au Kimei ambaye anaelewa maana ya sekta binafsi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini (Bsc Mining Engineering) nina uzoefu wa miaka 3

    Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini. Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
  15. JamiiForums Tanzania Ishu ya Naibu Waziri wa madini iangaliwe upya, kuna hii kitu inaitwa Anxiety na Panic Attack

    Wakuu kwenye matatizo ya kisaikolojia kuna ishu inaitwa anxiety na panic attack. Mara nyingi huenda pamoja. Anxiety ni hali ya kuwa na wasiwasi au uwoga uliopitiliza, usioendana na hatari. Sometimes bila sababu yeyote. Hii inaweza kupelekea mtu ukashindwa kufunction. Inaweza kutokea mtu ukiweka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

    Habarini wakuu! Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu. Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi). Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutambua aina ya madini haya na thamani yake

    Wana bodi mimi ni mgeni katika sawala madini kuna Mzee wangu ameniomba nimuulizie haya ni madini aina gani na thamani yake kama kuna mjuzi atujuze.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu umuhimu na athari za upungufu wa madini chuma kwa Watoto

    UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama husaidia kunyonywa kwa madini ya chuma kwa urahisi sana. Watoto wanaonyonya maziwa ya mama...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…