DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
Kila mara tunasikia taarifa za ukamataji mkubwa, operesheni nzito na kampeni za kupambana na dawa za kulevya… lakini mitaani mtandao wake unazidi kuenea.
Je, tatizo ni udhaifu wa mifumo ya sheria? Ni viongozi hawawajibiki ipasavyo? Au kuna watu wenye nguvu wanaonufaika na biashara hii?
Kila siku tunavyonyamaza, vijana zaidi wanapotea, familia zinavunjika, na taifa linapoteza nguvu kazi.
Unadhani kawanini watu wanafanya hii biashara licha kuwa na adhabu kali?