madai

Madai (Hebrew: מָדַי, pronounced [maˈdaj]; Greek: Μηδος, [mɛːˈdos]) is a son of Japheth and one of the 16 grandsons of Noah in the Book of Genesis of the Hebrew Bible. Biblical scholars have generally identified Madai with the Iranian Medes of much later records. The Medes, reckoned to be his offspring by Josephus and most subsequent writers, were also known as Madai, including in both Assyrian and Hebrew sources. Some scholars in more modern times have also proposed connections with various earlier nations, such as Mitanni, Matiene, and Mannai. In addition, the Kurds still maintain traditions of descent from Madai.According to the Book of Jubilees (10:35-36), Madai had married a daughter of Shem, and preferred to live among Shem's descendants, rather than dwell in Japheth's allotted inheritance beyond the Black Sea; so he begged his brothers-in-law, Elam, Asshur and Arphaxad, until he finally received from them the land that was named after him, Media.
Another line in Jubilees (8:5) states that a daughter of Madai named Milcah (Aramaic: Melkâ) married Cainan, who is an ancestor of Abraham also mentioned in the Septuagint version of Genesis and in the Gospel of Luke (3:36).
Medos (Μηδος), and his mother Medea, were also reckoned to be the ancestors of the Medes in classical Greek mythical history. Christian scholars have proposed linking Hebrew Madai and Greek Medos since at least the time of Isidore of Seville [Etym 9.2.28], ca. 600 AD.
Madai is also the name of the deified ancestor of the Kachin people of Myanmar, according to the indigenous Kachin religion.
Also linked with Madai is the Iranian city of Hamadan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

    Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki...
  2. JamiiForums Tanzania Ofisa wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe afukuzwa kazi kwa madai kughushi cheti

    BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi. Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Madai ya udhalilishaji wanafunzi, Mkuu wa shule Dar achunguzwa

    Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam zimeunda kamati kuchunguza tuhuma za vitendo vya kunyanyaswa wanafunzi kingono zinazodaiwa kufanywa na mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani. Kamati hizo zinachunguza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasema IGA ilikuwa ni Mkataba na Sio Makubaliano

    Na Sam Ruhuza Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu Bandari! Mahakama Kuu Mbeya chini ya Majaji watatu imetoa maamuzi yake kwenye kesi iliyofunguliwa na Wazalendo dhidi ya Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai. Kwenye maamuzi hayo yenye kurasa 91...
  5. JamiiForums Tanzania Iraq yaifungia Telegram Kwa madai ya kuhatarisha 'Usalama wa Taifa'

    Serikali ya Iraq leo Agosti 6, 2023 imetangaza kuwa inasitisha matumizi ya mtandao wa kijamii wa Telegram kote nchini kwa misingi ya kulinda "usalama wa taifa", hali iliyosababisha ukosoaji kutoka kwa vituo vilivyo karibu na mirengo inayoiunga mkono Iran. Huduma hiyo imezuiwa leo ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Madai ya muda (EoT) kwa Tanroads yanayoongeza gharama za mradi na ucheleweshaji– Ripoti ya CAG

    Madai ya muda kwa Tanroads yanayoongeza gharama za mradi, ucheleweshaji– Ripoti ya CAG Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wakandarasi na washauri walikuwa na madai ya TZS 1.03 trilioni hadi Novemba 2019 kutokana na kuchelewa kulipwa hati za malipo ya muda. “Ilibainika kuwa madai hayo yalisababishwa na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  8. JamiiForums Tanzania Microsoft na OpenAI zafunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 7.24 kwa kuiba Taarifa Binafsi za Watu Mtandaoni

    Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI. Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya ‘nipe nikupe’ ya nchi za Magharibi kuhusu tathmini ya Micron yaonesha upendeleo

    Wataalamu nchini China wanasema ni jambo la kushangaza kuwa, China kutangaza kwamba chip ya kumbukumbu ya kampuni kubwa ya teknolojia ya Marekani, Micron, imeshindwa kufikia vigezo, kumeibua malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi, na mtazamo wa “nipe nikupe”...
  10. JamiiForums Tanzania Apandishwa mahakamani kwa madai ya kuitukana Serikali juu ya deni la Taifa

    Naona Serikali imeanza kupita mitaani kuwasikiliza wanaoisema vibaya, Jamal Mikome mkazi wa Chanika amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa madai ya kuitukana Serikali wakati akitoa povu kuhusu Deni la Taifa na kuinyima kura Serikali mwaka 2025. Kwani wasipite pia kukusanya maoni ya wananchi kuhusu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni haraka madai ya uwepo wa rushwa kwa wabunge kuhongwa na Waziri Makamba

    KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII. MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA...
  12. JamiiForums Tanzania Madai ya kukashifiwa kama ukifa nayo yanakufa?

    Ninapokashifiwa Mimi ninaumia mm pamoja na watu wangu, mke wangu, wanangu, wazazi wangu pamoja na ndugu na jamaa zangu. Kuna wakati baadhi Yao wanatumia sana kuliko hata Mimi niliyekashifiwa na kitukanwa, Je kama mmi nitakufa ni kweli kuwa kashfa na matusi yanakufa pia? Kama ndio ni kwanini...
  13. JamiiForums Tanzania Pesa za madai za Membe zitalipwa kwa familia? Sheria inasemaje?

    Baada ya kifo cha Membe familia yake inaweza kudai pesa zake alizotakiwa kulipwa na Musiba kwa kumchafua au Musiba ndio anakuwa amepona na kuchomoka katika hayo madai ya kulipa pesa za kuchafua hadhi? Wataalamu wa sheria hii imekaaje kwa muongozo wa kiseheria?
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajikata Nyeti na Kuzitupa Kwa Madai ya Kusumbuliwa na Ugonjwa

    Mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula Wilayani Kwimba mkoani Mwanza Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando baada ya kujikata nyeti zake kwa kutumia kisu na kisha kuzitupa kwa madai ya kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Ndumbaro wajiuzulu kashfa ya kufuta madai ya Serikali Bilioni 19.7

    Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7. Hii inakuwa ni kashfa nyingine...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Baba adaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu

    Dar: Karim Shabani mwenyeji wa Chanika jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwapa sumu aliyoiweka kwenye juisi, baada ya kutuhumu mtoto wa mwisho aliyezaliwa na mkewe sio wake na hafanani naye. Juma Mohammed ambaye ni msemaji wa familia ya marehemu, amesema Karim...
  17. JamiiForums Tanzania Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

    Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Marekani na Uingereza walishindwa kulishawishi baraza la usalama la umoja wa mataifa kuweka azimio au "resolution" la kuwawezesha kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. ===== Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Hizi tuhuma ni nzito sana. 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…