Mahakama yasema IGA ilikuwa ni Mkataba na Sio Makubaliano

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,402
4,064
Na Sam Ruhuza

Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu Bandari!

Mahakama Kuu Mbeya chini ya Majaji watatu imetoa maamuzi yake kwenye kesi iliyofunguliwa na Wazalendo dhidi ya Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai.

Kwenye maamuzi hayo yenye kurasa 91, pamoja na mambo mengine Mahakama imekubaliana na madai kwamba IGA (InterGovernmental Agreements) iliyosainiwa haikuwa Makubaliano bali ni Mkataba.

Mahakama Kuu imekubaliana na madai kwamba Mkataba huo ulikuwa na mapungufu na kuitaka Serikali kuyafanyia marekebisho.

Baadhi ya mapungufu hayo ni pamoja na kwamba Dubai haina Mamlaka ya kuitwa Dola, hivyo haikupaswa kuingia ule mkataba na Serikali ya Tanzania.

Pia Mahakama kuu imebaini kuwa Mkataba ule wa IGA umekiuka sheria za uhifadhi wa raslimali za Taifa.

Mahakama Kuu imekubaliana na madai kwamba wananchi walipewa muda mfupi sana wa kutoa maoni yao kabla ya mjadala Bungeni ambapo ni wananchi wachache sana walitoa maoni yao, lakini Mahakama kuu imeshindwa kupata uthibitisho wa iwapo muda ungeongezwa kama idadi nayo ingeongezeka.

Katika maelezo ya Mahakama Kuu, japo imeainisha hayo mapungufu lakini imeamua kutokutoa maamuzi ya kuufuta Mkataba huo kwasababu ya kukwepa kuingilia maamuzi ya mhimili wa Dola yaani Bunge kwakuwa IGA ilipita Bungeni na kujadiliwa na kupitishwa.

Katika hili, naona Mahakama Kuu imechukua taarifa ya Spika Mstaafu Pius Msekwa ya kwamba Bunge ni sovereignty wakati kiurahisi Bunge ni Supremacy.
Taarifa ya Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta ilieleza panapotokea jambo la Kitaifa ambapo mhimili wowote umelalamikiwa, mwenye jukumu la kutafsiri na kutoa maamuzi ni Mahakama.

Nilitegemea maamuzi yafuate zaidi taarifa ya Jaji Mkuu ambaye ni mwanasheria jaji aliyefikia kuwa Jaji Mkuu, lakini labda kuna maelezo zaidi ambayo siyafahamu.
Nimeona Taarifa ya vyombo vya Habari vikitoa taarifa ya Mahakama Kuu kutupilia mbali madai na wengine kusema Mahakama Kuu yabariki mkataba, hii sio tu inapunguza uelewa wa vyombo vya Habari kwenye uwasilishaji wa taarifa nyeti zenye maslahi ya Taifa kwa umma, lakini inapotosha zaidi tafsiri ya Mahakama kwa kuacha kutoa taarifa kamili ya kilichoamuliwa na hitimisho la jumla.
Kwa kifupi "Mahakama Kuu imekubaliana na madai ya msingi ila imesita kuzuia kwa hofu ya kuingilia maamuzi ya mhimili mwingine na hivyo kuishauri Serikali kufanyia marekebisho mapungufu kwenye mkataba."

Hivi karibuni Viongozi Serikalini wamekuwa wakizunguka nchini pamoja na Viongozi wa chama tawala kueleza kilichosainiwa ni Makubaliano na sio mkataba na wananchi wamekaririshwa hivyo, Mahakama kuu imesema ule ni Mkataba na sio Makubaliano, hii maana yake ni hata Viongozi waliosaini hawajui wamesaini nini na Wabunge hawajui wamejadili na kupitisha nini?!
Wanatumia Kodi zetu kutukaririsha vitu ambavyo hata wao hawavijui!

Mawakili wa madai baada ya maamuzi ya Mahakama Kuu walitoa kauli ya kuitisha Maandamano ya amani kupeleka madai yao Serikalini ili ichukue hatua stahili kwenye mkataba huo wenye mapungufu. Katika maoni ya wananchi kila mmoja alikuwa na maoni yake ikiwamo wengine kukosoa maamuzi ya Mahakama Kuu na wengine kukubaliana nayo na kupongeza na hata wengine kukejeli waliokwenda Mahakamani, kila mmoja na mtazamo wake na ndio Demokrasia na Uhuru wa kuongea na kusikia.

Leo nimemsikia IGP akitoa onyo kali kwa wale waliotisha maandamano kuwataka waache mara moja kwani yanalengo la kuipundua Serikali iliyopo madarakani na hivyo ni kosa la uhaini.
Nafikiri IGP atakuwa amepanic sana kwani ameongea kwa hisia kubwa sana na hivyo kusababisha taharuki kwa umma kuwa kuna njama za Mapinduzi!
Kuandamana ni Haki ya Mwananchi kufikisha malalamiko yake na kinachofanyika ni kutoa taarifa Police kwa OCD kuonyesha muda wa maandamano na njia itakazopitia, kisha Police kutoa ulinzi kuhakikisha yanakuwa ya amani na hakuna madhara yoyote na ni jukumu la waandamanaji kuhakikisha maandamano yao yanakuwa ya amani.
Mheshimiwa Rais ametoa ruhusa ya mjadala kuhusu Mkataba wa Bandari na kuwataka watendaji Serikalini kuyasikia mawazo ya wanahitaji na kuyafanyia kazi. Maandamano ni moja ya kufikisha ujumbe.

Sioni Mapinduzi yoyote Tanzania ya kumuondoa Rais kupitia maandamano kwani hata aliyetoa taarifa ya maandamano sijamsikia akisema hilo, bali mmoja wa wananchi ndiye alitoa maoni yake ya kutokuwa na imani na Rais kama walivyoeleza wengine lakini aliyeitisha hakusema hilo la Mapinduzi na silioni kutokea, hivyo Mheshimiwa Rais na wananchi tuwe na amani tu, kwani hizo ni hisia tu za IGP.
Waandamanaji wanaweza kudai Mabadiliko Serikalini ambapo ni wajibu wa Rais kubadilisha Baraza la Mawaziri kwa ushauri potofu waliompatia kwenye huo Mkataba, hiyo sio Mapinduzi, bali ni kumsaidia Mheshimiwa Rais kuliwajibisha Baraza lake na wasaidizi wake.

Nilitegemea Waliotisha maandamano watoe taarifa kwa OCD na kupokea majibu ya ruhusa au kuzuiliwa na sio kauli hiyo kali sana ya Mkuu wa Police. Sijawahi kumsikia IGP akiongea hivyo, ndio mara ya kwanza, nafikiri akitulia atagundua hakukuwa na nia yoyote ya Mapinduzi!

Tunatakiwa tutofautishe kauli za kisiasa na kitaalam. Mkataba wa Bandari ni wa kitaalam na usichukulie kishabiki na hisia.
Inaelewekea umuhimu wa uwekaji na uboreshaji wa Bandari katika ufanisi wake, hilo halina ubishi kwa yeyote niliyemsikia, ila mjadala unatofautiana kwenye Mkataba ambapo unamapungufu kwa maslahi ya Taifa na Mahakama imeliona hilo. Tusichanganye uwekezaji na mkataba. Madai yaliyopo ni ya Mkataba na sio nia ya uwekezaji.

Tanzania ni yetu sote! 🇹🇿 🤝💪
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni yetu sote!

“Waajiriwa bandarini wamekuwa wezi ndo maana tunataka DP world waje, kumaliza huu wizi,hivo we ambaye hujawai agiza hata T Shirt na hupajui bandarini tuliza mbwembwe” Ackson Tulia
FB_IMG_1692441626302.jpg
 
CCM Bado wameshupaza shingo
 
Why mnaleta tafsiri zenu ?
Why msiweke hukumu kama ilivyo kabla hamjaweka tafsiri zenu?

Mbona comte aliweka vizuri kila kipengele kama kilivyo na ndo akaweka tafsiri yake ?
Why mmeanza kupotosha hukumu??
Mnatafisiri vipande vyenu Tu huku hamtaki kuweka hizo hukumu??
 
Weka hiyo ya Comte tuisome
 
Hayo yote yamesemwa katika ukurasa wa ngapi kwenye hukumu?
 
“Waajiriwa bandarini wamekuwa wezi ndo maana tunataka DP world waje, kumaliza huu wizi,hivo we ambaye hujawai agiza hata T Shirt na hupajui bandarini tuliza mbwembwe” Ackson TuliaView attachment 2721515
Kwani hao wezi waliwekwa na nani pale🤔🤔 Kwani hua wanavamia wanafanya ujambazi na kukimbia.🤔🤔 kama wanajua ni wafanyakazi wanao kwapua inamaana wanawajua kwa nini wasiwachukulie hatua kali 🤔🤔kwamba anathibitisha wameshindwa akili na wezi 🤔🤔 sasa wanaweza kufanya nini 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom