Apandishwa mahakamani kwa madai ya kuitukana Serikali juu ya deni la Taifa

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830
Naona Serikali imeanza kupita mitaani kuwasikiliza wanaoisema vibaya, Jamal Mikome mkazi wa Chanika amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa madai ya kuitukana Serikali wakati akitoa povu kuhusu Deni la Taifa na kuinyima kura Serikali mwaka 2025.

Kwani wasipite pia kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari kama wanayo 'manpower' ya kutusikiliza mitaani?

========

Mkazi wa Chanika, Jamal Mikome (48) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kutumia lugha ya matusi kuitukana Serikali iliyopoko madaraka.

Mikome, ambaye ni mfanyabiashara, alifikishwa mahakamani hapo, leo Jumatatu Juni 19, 2023 na kusomewa shtaka lake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Neema Moshi akishirikiana na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mary Mrio.

Wakili Mosha amedai kuwa mshtakiwa huyo anakabiliwa na kesi ya jinai namba 104/2023.
Akisomewa shtaka hilo, Wakili Moshi amedai mshitakiwa alitenda kosa hilo Aprili 28, 2023 eneo la Chanika, Wilaya ya Ilala.

Inadaiwa siku hiyo ya tukio na eneo hilo, alitumia lugha ya matusi kwa kuitukana Serikali iliyoko madaraka.

Mwananchi

Kutukana Serikali.jpg
 
Mkuu,

Hii ni habari ya kutoka magazetini? Kuna link ya kwenda kwenye tovuti yenye hii habari?
 
Ipo social media tu mkuu..

Mkazi wa Chanika, Jamal Mikome (48) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kutumia lugha ya matusi kuitukana Serikali iliyopoko madaraka.

Mikome, ambaye ni mfanyabiashara, alifikishwa mahakamani hapo, leo Jumatatu Juni 19, 2023 na kusomewa shtaka lake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Neema Moshi akishirikiana na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mary Mrio.

Wakili Mosha amedai kuwa mshtakiwa huyo anakabiliwa na kesi ya jinai namba 104/2023.
Akisomewa shtaka hilo, Wakili Moshi amedai mshitakiwa alitenda kosa hilo Aprili 28, 2023 eneo la Chanika, Wilaya ya Ilala.

Inadaiwa siku hiyo ya tukio na eneo hilo, alitumia lugha ya matusi kwa kuitukana Serikali iliyoko madaraka.

Mwananchi
 
Ipo mwananchi nimeiona pia.
Kutukana serikali kama sio haki ya kikatiba tayari, tuifanye iwe haki ya kikatiba kwenye katiba mpya.

Yani tukiweka hivyo inaweza kupunguza mapinduzi ya kijeshi.

Serikali ikikukasirisha kwa kutotimiza wajibu, unaitukana unavyotaka, tena si serikali tu, mpaka rais, unamtukana unavyotaka, huku umewekewa kinga ya kisheria kutoweza kushitakiwa kwa kuitukana serikali au rais.

Unatukana, unatukana, mpaka unamaliza hasira zako.

Ukikataza watu kutukana serikali au rais, ndiyo unawafanya watake kumuua kwa risasi.

Walichomfanya huyu mshitakiwa ni kama vile mtu umepanda daladala, halafu mtu kakukanyaga, halafu unalia umekanyagwa, halafu unapigwa kwa kulia umekanyagwa.
 
Naona Serikali imeanza kupita mitaani kuwasikiliza wanaoisema vibaya, Jamal Mikome mkazi wa Chanika amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa madai ya kuitukana Serikali wakati akitoa povu kuhusu Deni la Taifa na kuinyima kura Serikali mwaka 2025.

Kwani wasipite pia kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari kama wanayo 'manpower' ya kutusikiliza mitaani?

========

Mkazi wa Chanika, Jamal Mikome (48) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kutumia lugha ya matusi kuitukana Serikali iliyopoko madaraka.

Mikome, ambaye ni mfanyabiashara, alifikishwa mahakamani hapo, leo Jumatatu Juni 19, 2023 na kusomewa shtaka lake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Neema Moshi akishirikiana na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mary Mrio.

Wakili Mosha amedai kuwa mshtakiwa huyo anakabiliwa na kesi ya jinai namba 104/2023.
Akisomewa shtaka hilo, Wakili Moshi amedai mshitakiwa alitenda kosa hilo Aprili 28, 2023 eneo la Chanika, Wilaya ya Ilala.

Inadaiwa siku hiyo ya tukio na eneo hilo, alitumia lugha ya matusi kwa kuitukana Serikali iliyoko madaraka.

Mwananchi

Hizi ni kesi za ajabu , na za kipumbavu kwamba wanadhani wanaoongoza nchi ndo wenye akili kuliko walio mtaa ,

Hakuna kesi hapo , uyo ni mwananchi na mwenye nchi ambae amewaweka madarakani hao wanaosema wanatukanwa,

TUNATAKA BANDARI ZETU
 
Back
Top Bottom