macho

  1. JamiiForums Tanzania Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

    Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche. Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi ...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

    Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona? Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona? Unaona nini ukifumba macho yako? Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi? Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ? Unadhani ni halisi ? Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya macho ya majani yanayoota pembezoni mwa mto

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu au kuwa kama na ukungu hivi. Huyu jamaa yangu marehemu alikuwa anachuma majani fulani mabichi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosingiziwa na kushitakiwa kwa ugaidi. Mawakili kuweni macho na forced confessions. Soma hii case imetoka juzi

    Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
  6. JamiiForums Tanzania Nimekumbukwa, kieneo changu cha Makunganya huko Morogoro nasikia imegunduliwa dhahabu, watu wamekivamia. Walahi tutatoana macho

    Hamjambo wote! Baada ya wanaonichukia kunidhihaki, kuniponda, kunikejeli na kuninyali. Huku wanisema sina hili wala lile. Sina maisha wala kitu chakufanya. Wengine wamefika mbali wakinitukana na kuniambia nashinda tuu mitandaoni kurushiana maneno na watu. Sasa nimekumbukwa. Mambo yanaenda...
  7. JamiiForums Tanzania Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya. Leo nimeona na kusikia mama mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Narudia, Vita sio maonyesho kama World Cup. Vita havinaga Macho wala sheria

    NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup. Vita ni jambo la asili. Inapotokea sheria za kutengenezwa hazifanyi kazi. Na ukiona zinatumika ujue ni ulaghai...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni macho yake? Ufupi wake? Aiba yake? Vinavyonifanya niamini sio mbaya kiivyo, ILA wapo WABAYA zaidi yake je wapo wapi?

    Sijui ni ufupi wake? Rangi yake, aiba yake? Au vinamacho vyake? Mbona Mimi siioni ubaya kama anao twishwa? Aliyemtuma Samia akamwone Tundu Lissu Nairobi ni nani? Au ni yeye aliamua? Najiuliza kmni ni yeye Leo kwa nini amemweka magereza Mwaka mzima?
  10. JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

    Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya. Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed! Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna uvunjifu wa amani uliofanyika kwenye mikutano ya CHADEMA. CCM wameona kwa macho yao namna wanannchi wanavyoichukia serikali CCM.

    Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono. Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Macho, mikono na miguu yako katika tafsiri ya kiroho

    Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo 1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono 2. Miguu inaashiria hatua na maendeleo 3. Mikono inabeba mamlaka ya uzalishaji. Kwa maana hiyo basi .Macho ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama taifa, yafaa kumshukuru Mungu kwa kutuonesha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mchana kweupe tena kwa macho ya nyama kabisa

    Wengi hawakuamini masuala ya uwepo wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, na mamluki wao, waliojificha ndani ya miongoni mwa vyama vya siasa nchini, wakiwa na nia na dhamira ovu dhidi ya taifa letu. Lakini sasa ni wazi maadui wa taifa letu, wamejidhirisha wenyewe mbele ya waTanzania na dunia...
  15. JamiiForums Tanzania Macho ni mlango wa nafsi na silaha butu kwa wengi

    Katika matukio mengi yanayotendeka hapa duniani mtu anaweza kuficha siri lakini ukimtazama machoni kuna kitu utatambua! Moja ya Silaha kubwa sana kwa Mawakili na Wadau wengine wa haki ni MACHO......(Kuna aina 16 za mpepeso wa macho na kila mpepeso ni KIASHIRIA) kwani wanaweza kukutambua kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Trump ametufumbua Macho kuhusu nguvu ya Kijeshi ya Marekani

    Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia. Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo tata ya dunia hufichwa gizani, huku ukweli ukipotezwa mbele ya macho yetu✍️

    👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa. 👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine. 👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
  19. JamiiForums Tanzania Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

    Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na wengine ambao kwao muda huu ndio kama kumekucha Lakini kama wewe haupo kwenye kundi hilo halafu mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…