Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,005
Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.