Habari wanaJF,
Ni mimi tena, mjoli wenu. Baada ya kuwa off platform siku nyingi, sasa narejea kwa kasi fulani hivi. Jana tu nilisherehekea siku ya kuzaliwa. 38 sio haba, na bado 38 zingine, Inshallah.
Kuna swali moja ambalo linajirudia humu karibia kila siku:
"Nataka kununua [bidhaa fulani], ni...