Mabilionea wa bongo wana mbwembwe

Mabilionea wa bongo wana mbwembwe

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,188
Reaction score
4,894
Chini hapo kwenye picha ni bilionea nchini anayekuja kwa kasi sana Dr Ibra Chenza PhD anajihusisha na online marketing.

Ana resort yake kafungua huko Rufiji inaitwa Oviedo.

Sasa cheki hizo mbwembwe hata Elon Musk hana.

Screenshot_20260611_184152_Facebook.jpg
Screenshot_20260611_184202_Facebook.jpg
 
Chini hapo kwenye picha ni bilionea nchini anayekuja kwa kasi sana Dr Ibra Chenza PhD anajihusisha na online marketing.

Ana resort yake kafungua huko Rufiji inaitwa Oviedo.

Sasa cheki hizo mbwembwe hata Elon Musk hana.

View attachment 3611905View attachment 3611906
Hajavunja Sheria na hela ni zake, swala la kwamba kazipata wapi namna gani yeye ndiye anajua
 
Ila kukosa pesa ni kama tu mapungufu ya akili, anachokifanya pale wewe usiye na pesa unakosoa unataka umfundishe namna ya kuishi juu ya pesa yake, ila wewe umeshindwa kuitafuta uipate kama yake ili uishi kwa namna unavotaka aishi yeye! Yaani unabeza lifestyle ya mwenye pesa ambaye humfikii zaidi ya kumfuatilia mitamdaoni. Oyaaa tafuteni makuta
 
Back
Top Bottom