Hawa nao wamelipwa na mabeberu gani?

Hawa nao wamelipwa na mabeberu gani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,838
Reaction score
50,541
Hali ya mambo siyo shwari ila CCM wakiambiwa ukweli wanachachamaa na kusema wanaowakosoa wamelipwa na mabeberu.

Picha hiyo hapo chini inaonesha wananchi wa eneo la Ngongowele Wilayani Liwale Mkoani Lindi wakiwa na mabango yanaoonesha wanataka mabadiliko kwenye eneo lao.

CCM wanadhani tatizo ni CHADEMA na hao wanaowaita wanaharakati, lakini kumbe ukweli wa mambo tatizo ni wao wenyewe wameshindwa kuongoza nchi yetu.

Hakuna mtu anayelipwa kuwa na akili timamu, bali kuna watu wanalipwa ili wajichetue.

Policcm hawakufanikiwa kufika eneo la tukio?!.
Huo mkusanyiko na mabango inatakiwa uwe wa kumsifu na kumpongeza dr pr mtukufu samuya tuuu na sio vinginevyo!.
 
Hali ya mambo siyo shwari ila CCM wakiambiwa ukweli wanachachamaa na kusema wanaowakosoa wamelipwa na mabeberu.

Picha hiyo hapo chini inaonesha wananchi wa eneo la Ngongowele Wilayani Liwale Mkoani Lindi wakiwa na mabango yanaoonesha wanataka mabadiliko kwenye eneo lao.

CCM wanadhani tatizo ni CHADEMA na hao wanaowaita wanaharakati, lakini kumbe ukweli wa mambo tatizo ni wao wenyewe wameshindwa kuongoza nchi yetu.

Hakuna mtu anayelipwa kuwa na akili timamu, bali kuna watu wanalipwa ili wajichetue.

View attachment 3535464
Chichiemu Chichiemu Chichiemu...comrade Kawaida unaitwa huku
 
Lissu alikua mbele ya muda alishawaambia wakimalizana CHADEMA watahamia wao kwa wao, Lissu kafungwa na bado maandamano yasiyo na chama makubwa kuwahi kutokea Tanganyika yalifanyika October 29 .

Polepole akawaambia hata wakimnyamazisha ambayo wamefanya kwa kumuua hata mawe yataongea.

CCM walitakiwa wajiulize kuua, kufunga watu sio suluhu ya matatizo yao badala yake ni wanaibuka watu wapya kila siku maana utanyamazisha watu ila hunyamazishi matatizo hivyo wakosoaji hawatoisha daima.
 
Vp wanataka kuondolewa nini kwenye maeneo yao
Kumpisha mwekezaji 😄

Ova
 
Back
Top Bottom