mabeberu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wakitoa fedha ni wafadhili ila wakikosoa ni mabeberu!

    Kichwa cha habari kiko wazi juu ya ugeugeu na uzabazabina wa watawala wetu. Sijui nyie mnasemaje?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Taifa lililoungana linaweza kupambana na Mabeberu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
  4. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu watadanganywa kuwa Lissu ni kibaraka wa Mabeberu

    Hayo madini, Mbuga za Wanyama, Gas, Uranium, Bandari, misitu n.k. ni kipi hawajapewa mabeberu kwa mikataba ya kijinga? Kipindi cha Magufuli tuliambiwa yote hayo Anachotaka Lissu hata kidogo kilichobaki tule wote, siyo wao wanakula na kuvimbiwa. Wanachukua mamikopo ya trillions, ambayo kila...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

    Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!

    Wakati wa Magufuli Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

    Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema. Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ule Muungano wa BRICS kiboko ya Mabeberu, unapumulia mashine. Unakaribia kuvunjika..

    Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka...
  12. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Ngugi wa Thiong'o alikuwaje kiboko ya mabeberu huku akiishi kwa mabeberu badala ya Afrika?

    Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti...
  13. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Huyu kweli alikuwa kibaraka (mercenary) wa mabeberu. Kwa Lipumba, Seif, Mbowe, Zitto nk mabeberu wailikuwa kimya

    Kukamatwa kwa huyu jamaa yetu kumethibitisha bila kuacha shaka kuwa kweli mtu huyu alikuwa ni kibaraka (mercenary aka puppet) wa mabeberu fulani wa huko ulaya. Hao ndiyo walikuwa wakimpa kiburi cha kufanya na kuogea machafu dhidi ya serikali yetu na viongozi wa juu wa serikali yetu. Kiburi hicho...
  14. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Hivi yale madini ya Uranium yaliyogundulika kule Namtumbo-Ruvuma yanachimbwa au CCM washayauza kwa mabeberu?

    Nakumbuka kipindi cha utawala wa JK kule wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma iligundulika hazina kubwa ya madini ya Uranium Ila tangu wakati huo sijasikia mwendelezo wa uchimbaji wa madini hayo ambayo ni muhimu kwenye nishati na mambo mengine. Je CCM wameuza kwa mabeberu au shida ni nini hadi...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

    Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo, Mabeberu wanafahamu...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaisadia CCM au CHADEMA?

    Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump imezuia misaada Kwa nchi mbali mbali duniani kupitia shirika lake la...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania The gate Goalkeeper award siyo tuzo toka kwa mabeberu?

    Hawa mabeberu siyo wa kuwachekea hata kidogo. Hii tuzo ya Gates Goalkeeper siyo ya mabeberu hii?
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza, Nchi hata ikiwa saizi ya Hekari moja, kama Ikiungwa mkono na Mabeberu huwezi kuishinda hadi mabeberu hao waamue

    Mabeberu US na wenzake hakuna taifa ambalo litafanya mipango au miakakati isijue. Wataiuzia taarifa hizo. Mabeberu wana silaha ambazo wakiipa nchi ndogo saizi ya hekari moja, Silaha moja tu ikitumiwa lazima uipigie magoti nchi hiyo ndogo. Wanaweza kuipa nchi ndogo taarifa za kiintelijensia...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo. Akizungumza Januari...
Back
Top Bottom