mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yatoa bilioni 19.99 kujenga Stendi Kuu ya mabasi Babati

    Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Babati kuhusu ujenzi wa stendi kuu ya mabasi sasa kimesikika, baada ya Serikali kutoa shilingi bilioni 19.99 kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi wa stendi hiyo, ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 15. Akizungumza leo, Julai 24, katika hafla ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kero mabasi ya mikoani: Wahudumu hawatulii sehemu moja, kila wakati wanajipitisha pitisha

    Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu. Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano isiyo ya lazima kwenye gari ?Tena baadhi yenu mnanuka kienyeji sana, kwanin usitembee ndani ya basi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi unaofanywa na mawakala wanaotoa gate pass stendi ya mabasi ya Nyamhongolo, Mwanza

    Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia. Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  8. Revolution

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wenye mabasi ya mikoani

    Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama. 1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni speed zisizokuwa na ulazima. 2. Kutokana na sisi kutokuwa na haraka huu mtindo wa kusimama dakika...
  9. hp4510

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4...
  10. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Huyu tajiri wa mabasi ya Jonhavia investment ni nani hapo Musoma?

    Siku za hivi karibuni hii kampuni ya Jonhavia investment yenye makao makuu yake Musoma mkoani mara imekua ikitoa ushindani kwa wakongwe wa kanda ya ziwa,jamaa nadhani kila mwezi anaingiza vyuma vipya barabarani. Ningependa kumjua huyu mmiliki ni nani hapo Musoma?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kampuni ya mabasi yaendayo kasi DSM ndio inakufa au ni Mimi naona hivyo?

    Wana JF, Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu. Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI...
  14. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waarabu wakabidhiwa mradi mabasi ya mwendokasi

    DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Soma pia: Mabasi mwendokasi Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
  16. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mateso katika mabasi ya mwendokasi

    Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025

    Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa kuanza ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi mkoani humo. Akizungumza wakati wa ghafla fupi ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji Hanang, mkoani Manyara

    Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha miundombinu ya usafiri na kukuza shughuli za kiuchumi katika eneo hilo. Stendi hiyo ya kisasa inatarajiwa...
  19. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania USAFI UDUMISHWE KATIKA MABASI

    Mabasi ya safari hasa haya VIP na VVIP (yenye huduma ya choo ndani) usafi udumishe ili kuondoa KERO ya harufu mbaya ndani ya basi.
  20. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18. Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
Back
Top Bottom