Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho
Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri.
2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha.
3️⃣...
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Wakuu
Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini.
But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote.
Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda.
Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama...
Mwaka 2023 kuna fedha Tsh Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kagera iliamuliwa na Serikali ya Mkoa kuwa zinatakiwa kutumika kukarabati Stendi ya Mabasi ya Bukoba, lakini hadi sasa mradi haujakamilika.
Oktoba 2023, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa alisema fedha hizo...
Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja na changamoto hizi, mamlaka husika zimeendelea kukusanya mapato bila kuchukua hatua yoyote ya...
Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo.
Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka.
Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo.
Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa mmoja uliyopo Kanda ya Ziwa.
Nikiwa naendelea kuhudumiwa, nilishangaa namna mabasi yalivyo mengi...
Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani?
Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau ubovu wa miundombinu, nimeona mara kadhaa hapa JF watu wamekuwa wakiripoti kero hiyo kisha kisha wenye...
Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China, Brazil na Kenya.
2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo kujenga "Assembly plant" nchini kuongeza ajira, Kodi na ukuzaji/urithishaji teknolojia/maarifa kwa...
Habari Wandugu!
Leo kero yangu ipo kwa wasafirishaji wa abiria Mikoani haswa masafa marefu ya kuanzia masaa sita na kuendelea. Ni kawaida kwa wasafirishaji wa mabasi kutokuwa na vyoo ndani ya mabasi yao na pia kuweka sehemu moja katika safari nzima kwa ajili ya huduma za kijamii ikiwepo kula na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.