mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mabasi ya mwendokasi yana mwenyewe? Au yanajifia kama daladala za UDA?

    Nimefika Dar es salaam nikafanikiwa kupanda magari ya mwendokasi nikajiuliza viongozi wenye dhamana wameisha DSM? Mabasi yamechoka, yanajaza abiria hadi milango haifungi, yapo machache na hakuna msimamizi serious unayemwona mwenye lengo la kuyatunza yadumu. Kwa namna mabasi haya yanavyoendeshwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

    Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
  4. JamiiForums Tanzania Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  5. JamiiForums Tanzania UWAMATA na wamiliki wa mabasi dhibitini wauza madawa na vitu kwenye mabasi ya mikoani

    Kwa wale wastaarabu tu ndio wanaoelewa. Ni kero kwa abiria wachuuzi kuingia ndani ya mabasï kuuza vitu vyao. Mwenye shida anunué hapo nje na sio kupishana na matenga, maboksi na kupigiwa kelele. Nilishangaa nikiwa kwenye basi la NEW FORCE kuelekea Lindi hadi mabeseni ya samaki yanapita. Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  7. JamiiForums Tanzania Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Mabasi ya Shule yawe na 'Makondakta' wa kike

    SERIKALI imeagiza mabasi yote yanayobeba wanafunzi kuwa na kondakta wa kike na mabasi yote yafungwe Camera maalum. Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dk. Dorothy Gwajima ametoa agizo hilo alipokuwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe katika...
  9. JamiiForums Tanzania Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Hi, Sikuhitaji anishukuru wala sikuhitaji anilipe hapana ila mikausho aliyo nionyesha kwa kweli ameninyanyasa kihisia. Nilikua natoka Mwanza nakuja Dar niliwahi mapema sana kufika pale ofisini kwao yanakolala magari panaitwa Nata nikapanda nika kaa kwenye seat yangu ilikua msitari wa tatu...
  10. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi kufika hadi Chamazi

    Wakati mkandarasi mradi awamu ya tatu ya mabasi yaendayo haraka ’mwendokasi’ barabara ya Gongo la Mboto akiwa tayari ameanza kazi, miundombinu ya mradi huo inatarajiwa kufika hadi Chamazi. Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 15,2022 jijini humo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

    Kwa muda mrefu nilitaka kuandika hili la Sababu za "kitoto" za kuzuia magari yasisafiri usiku, hatimae Mbunge Tulia ameliona Hilo, tusubiri mamlaka zitekeleze. Mimi ni mdau wa safari za usiku sana, kwahio Wacha niwape experience.... 1. Zile Coaster za Arusha zinazuiliwa pale Mkata wa saa Tano...
  12. JamiiForums Tanzania Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

    Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116) Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
  13. JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi Nyegezi wakimbia kupimwa ulevi na macho

    Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza, linawasaka Madereva zaidi ya 10 wanaoendesha magari ya mikoani na nje ya nchi waliokimbia kupimwa ulevi pamoja na macho katika kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza Sunday Ibrahimu...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mabasi Dar Express inakwama wapi?

    Hii kampuni ina jina kubwa kutokana na Ubora wa huduma ambazo iliwahi kuzitoa hapo siku za nyuma ikambatana na kuwa na mabasi mazuri yenye kiwango, ofisi nzuri na wahudumu wanaojali wateja. Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mazishi ya waliokufa na ndege huko Bukoba yanagharamiwa na Serikali? Wanaokufaga na mabasi?

    Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali? Mwenye ujuzi atujuze...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kukereka na mwendo wa taratibu wa Mabasi ya Mikoani naomba ombi langu likubaliwe

    Kuwe na Mabasi Maalum ya Waoga wa Kufa ( yaendayo taratibu ) kama sasa na pia kuwe na Mabasi Maalum ya Tusio Waoga wa Kufa ( yaendayo kasi ) ili tusichoshane humu Barabarani. Haiwezekani kutoka Dar hadi Moro zamani ukipanda Abood Dereva akiwa Dula Bedui ( sasa Marehemu ) unatumia dakika 90 au...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM. Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk. Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
  18. JamiiForums Tanzania Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  19. JamiiForums Tanzania Wakati wa kusafiri napenda kipindi cha kuchimba dawa vichakani maana niliwahi kula mbususu!

    Kuna siku moja nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B na safari ilichukua takribani masaa 16. Kuna muda dereva wa basi alituamuru tushuke kichakani tuchimbe dawa na tutumie dakika 5, kweli abiria wote wake kwa waume tulishuka. Mimi nikaelekea upande fulani halafu kuna mdada nikashangaa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi: Mradi wa Mabasi ya Mwendo kasi (BRT) umekwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha

    Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili. Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika jiji na viunga vyake, ahadi ya njia salama, bora na ya bei nafuu ya usafiri wa umma ambayo bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…