Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...