maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  2. JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete Sri Lanka, Madaktari waitisha maandamano kutokana na uhaba wa dawa

    Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga ujenzi wa bomba la mafuta(EACOP) Kati ya Tanzania na Uganda nchini Ufaransa ni "Economic Espionage"

    Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo. Kenya katika ukanda huu wa maziwa makuu imekuwa ikitumiwa sana na washirika wa magharibi na kampuni nyingi binafsi katika...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
  5. JamiiForums Tanzania Naumia, nalia, nasononeka kila nikiliona kaburi la Akwilina Akwilin. Serikali ilipe fidia familia yake; marehemu alipanga kuwajengea wazazi wake

    Nimeona kabla ya kufika tarehe 1/04/2022 niwakumbushe Wana JF ya kuwa hilo hapo ni kaburi la kijana wetu mtoto wetu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi Na Askari polisi aliye kuwa anazuia maandamano ya Chadema. Polisi alifyatua risasi na kuua mwananfunI ambaye hakuwa hata kwnye...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoambatana na kuharibu mali kwa kisingizio cha Demokrasia

    Naomba kabla sijaendelea kusema jambo moja... "Naunga mkono vuguvugu za kidemokrasia ambazo sii za vurugu" Daima siungi mkono vurugu kwa kisingizio cha Demokrasia. Wanajamvi leo naomba kusema kitu ambacho najua wengi wetu wanaweza wasinielewe LAKINI naamini kuna watakaonielewa. Mara nyingi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo...
  8. JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

    Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa? Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu! Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
  11. JamiiForums Tanzania Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei. Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote. Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
  12. JamiiForums Tanzania Kazakhstan: Maandamano kuipinga Serikali yaendelea, maelfu wakamatwa

    Maandamano yaliyoanza kutokana na ongezeko la bei ya mafuta yameendelea hata baada ya Serikali kusitisha bei mpya zilizosababisha ghasia hizo zinazotajwa kuwa mbaya zaidi tangu Taifa hilo kupata Uhuru miaka 30 iliyopita. Vikosi vinavyoongozwa na Urusi vimewasili Nchini humo kusaidia kuwadhibiti...
  13. JamiiForums Tanzania Kazakhstan: Serikali yajiuzulu kufuatia maandamano ya kupinga bei za mafuta

    Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo. Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaharakati Sudan waitisha maandamano zaidi

    Wanaharakati Nchini humo wametangaza maandamano mapya, wakati hali ya Siasa Nchini humo ikiendelea kudorora baada ya Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok kujiuzulu. Waongozaji wa Kampeni dhidi ya Utawala wa Kijeshi wamesema Waaandamanaji watakuwa wakielekea Ikulu ya Rais hadi ushindi utakapopatikana...
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano zaidi yapangwa kufanyika Sudan, Waziri Mkuu atoa wito wa makubaliano ya kisiasa

    Waziri Mkuu Abdalla Hamdok amesema utulivu na umoja wa Sudan uko hatarini. Hamdok ametoa wito wa kuwepo kwa makubaliano ya kisiasa, ili kulinda nchi siku zijazo, wakati taifa hilo likiwa limegubikwa na maandamano makubwa ya kupinga mapinduzi ya kijeshi. Akizungumza kabla ya maandamano...
  16. JamiiForums Tanzania Burkina Faso yasitisha huduma za intaneti kutokana na maandamano

    Serikali Nchini Burkina Faso imeongeza muda wa kusitishwa Huduma za Intaneti, ikielezwa hatua hiyo inatokana na sababu za Usalama na Ulinzi wa Taifa. Huduma za Intaneti zilikatwa kutokana na maandamano dhidi ya Serikali na Vikosi Washirika vya Ufaransa baada ya Maafisa 49 wa Jeshi la Polisi na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaharakati waitisha maandamano makubwa Sudan

    Wanaharakati wanaopinga mapinduzi nchini Sudan wameitisha maandamano makubwa leo Jumapili, wakati maafisa wa afya wakisema idadi ya watu waliouwawa imefikia 40. Marekani na Umoja wa Afrika zimelaani ukandamizaji dhidi ya waandamanaji na kuwataka viongozi wa Sudan kujizuia na matumizi ya nguvu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

    Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji. Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8. Source: ITV habari
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Tanzania haijazuia Maandamano wala Mikutano ya Kisiasa!

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali haijazuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa wanaandaa utaratibu rafiki utakaotumika pasipo kuvunja sheria za nchi. Kabudi amesema kuwa inatambua umuhimu wa mikutano ya siasa na pindi utaratibu utakapokamilika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

    Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini. Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima. Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…