Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,403
Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao.

=========

The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to 41 including demonstrators and police, state TV reported.

The elite Islamic Revolutionary Guard Corps issued a statement describing the unrest as a “conspiracy” in which protesters had been organized and armed by the “enemy,” usually a reference to the US and Israel. The US imposed new sanctions in response to the government’s actions.

Demonstrations started last Friday following the death of 22-year-old Mahsa Amini, a young woman who fell into a coma after Tehran’s so-called “morality police” arrested her for allegedly flouting Islamic dress codes.

Protests have been reported in scores of towns and cities including the capital Tehran as well as Karaj, Shiraz, Tabriz, Kerman, Kish Island, Yazd, Neyshapur, Esfahan and Mashhad. It’s the most widespread unrest in Iran since November 2019 when authorities shut down the internet and, rights groups say, killed hundreds of people.

bloomberg
 
AA12fhGA.img

FaizaFoxy
 
Ndio uzuri wa kuwa na IDs nyingi.

Unaanzisha uzi, halafu unaanza kujijibu mwenyewe.
 
Utakuwa we ni mgeni ndani ya Tanzania.
Madikteta wote duniani wanawaonea wivu ccm kwa kuhotea chaka lisilo fuka Moshi
ID ya mtu mimi huwa naitumia ni thread/post gsani nisome. ID yako looked like a learned brother (not an advocate), but someone who can see the reality, justice, and the like. I am in doubt of your mental integrity by your observation "Madikteta wote duniani wanawaonea wivu ccm"
 
haya mauaji ya watu kiholela kwa kisingizio cha panya road yataleta mlipuko, kama siyo mwaka huu huko mbele na CCM will be responsible
Watanganyika ni watu waliolegea na majoga sana labda baada ya miaka 60 hiv ndio angalau watu 15 wataweza kukusanyika na kuandamana japo kwa nusu saa.
 
Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao....

The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to 41 including demonstrators and police, state TV reported.

The elite Islamic Revolutionary Guard Corps issued a statement describing the unrest as a “conspiracy” in which protesters had been organized and armed by the “enemy,” usually a reference to the US and Israel. The US imposed new sanctions in response to the government’s actions.

Demonstrations started last Friday following the death of 22-year-old Mahsa Amini, a young woman who fell into a coma after Tehran’s so-called “morality police” arrested her for allegedly flouting Islamic dress codes.
Protests have been reported in scores of towns and cities including the capital Tehran as well as Karaj, Shiraz, Tabriz, Kerman, Kish Island, Yazd, Neyshapur, Esfahan and Mashhad. It’s the most widespread unrest in Iran since November 2019 when authorities shut down the internet and, rights groups say, killed hundreds of people.

bloomberg
Acha ufurbo nyinyi huko tanganyika si mnakatana viungo vya mwili na kwenda kuuza eti mupate utajiri, uislamu ni dini kamili na imekuja na miongozo yake kamili acha kebehi fuatilia kwanza mambo ndio uje hapa.,
 
The elite Islamic Revolutionary Guard Corps issued a statement describing the unrest as a “conspiracy” in which protesters had been organized and armed by the “enemy,” usually a reference to the US and Israel. The US imposed new sanctions in response to the government’s actions.
Wapumbavu hawa madikiteta. US na Israel ndio waliowatuma wamuue huyo Mwanamke?
 
Acha ufurbo nyinyi huko tanganyika si mnakatana viungo vya mwili na kwenda kuuza eti mupate utajiri, uislamu ni dini kamili na imekuja na miongozo yake kamili acha kebehi fuatilia kwanza mambo ndio uje hapa.,
Dini na wafia dini wanao jioni wako sawa na dini yao..ndio wanafiki wakubwa..hakuna dini kamili na hakuna dini isiyo kamili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama dini yako iko kamili mbona kitabu chenu kimekaa kimya juu ya mwanamke anayeacha nywele zake wazi hadharani., lete hiyo fatwa
 
Mwanamke anaeacha nywele kama anakosea ama anapatia Hukumu atapewa na Mungu wake siku ya hukumu ikifika, sisi binadamu sio kazi yetu kutoa hukumu za mambo yanayomuhusu mtu na Mungu wake.

Mungu ndie anaepaswa kutoa hukumu kwenye makosa ya kidini , sio binadamu
 
Hee mkuu ni wewe uliyeandika hivi? Ina maana watu wafanye dhambi tusubiri hukumu siku ya siku hii dunia kweli ingekalika? Kama sisi binadamu si kazi yetu kulikuwa na haja gani kusema tumepewa kitabu ambacho ndani yake kina udhaifu huo mkubwa na tukakiamini kinatoka kwa Mungu?

Katika uislamu hakuna sharia ambayo imetungwa na mwanadamu, sharia zote katika uislamu zimetoka katika kitabu kitakatifu Quran ingawa kwa hili lilotokea Iran si kwamba yule mwanamke alihukumiwa kifo, yule mwanamke alikufa mikononi mwa polisi labda aliteswa sana ama vyovyote ndio maana watu wanaandama kupiga hayo mauaji si kwamba alihukumiwa kifo kutokana na Quran na hukumu za kiislamu

Ndio mana nimekwambia kwanza fuatilia ujue nini kinatokea duniani ndio uje hapa.
 
Acha ufurbo nyinyi huko tanganyika si mnakatana viungo vya mwili na kwenda kuuza eti mupate utajiri, uislamu ni dini kamili na imekuja na miongozo yake kamili acha kebehi fuatilia kwanza mambo ndio uje hapa.,

Wengi wamechoshwa na dini ya mwarabu, hata mwarabu mwenyewe imemchosha...
 
Back
Top Bottom