Vifo vyazidi kuripotiwa Iran kwenye maandamano ya kupinga mauaji ya mwanamke kisa hakusitiri kichwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,410
Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza.

Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa..

AA125DbR.img

Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile, decried the West's "double standards" on women's rights.Thousands of demonstrators on Wednesday marched through the streets of Iran amid unrest over the death of Mahsa Amini.

The 22-year-old woman died in police custody after she was arrested for allegedly wearing a headscarf in an "improper" way under the Islamic Republic's strict dress code for women.

Officials said on Wednesday that two people, including a police officer, died overnight as security forces tried to disperse protesters. The figure brings the death toll to six.

Meanwhile in Istanbul, a woman cut her hair during a protest outside the Iranian consulate in solidarity with Amini.

Dozens of Iranian and Turkish women outside the consulate carried portraits of Amini and banners in support of women's rights.

Internet disruptions

Access to Instagram in Iran was disrupted on Wednesday, according to the London-based monitoring group NetBlocks.

The platform has already been one of the few Western social media sites available in Iran as Tehran blocks Facebook, Telegram, Twitter and YouTube.

Separately, Iranian government websites came under what appeared to be a cyberattack.

Hackers have claimed responsibility for the apparent attack.

MSN
 
Attachments

  • 1663802976947.png
    1663802976947.png
    68 bytes · Views: 7
... Uturuki ambao ni Muslims more than 90% mbona hawana haya mambo ya Iran? Huwezi kumtenga au kumfungia binadamu kama mnyama; leo dunia ni kijiji watajifunza elsewhere kuanzia India, Uturuki, n.k ambako wanawake wako huru.
 
Je,Allah mungu wa miungu saa yake,wakati wake,muda wake,nyakati zake zimefika asahaulike,apuuzwe,awe kituko na makumbusho kama ZEUS,BA'AL & ASHERAH,AL-UZZA,AL-LAT,MANAT n.k...??? ISLAM is a religion of peace if there is no infedil.
 
Katika mambo ambao huwa siyakubali ni dini. Dini na ukabila huleta machafuko hata vita pia. Watu wanaoshikiria dini uwezo wao huwa ni mdogo sana wa kufikiria.
Zanzibar ikifika wakati wa Ramadhan inakuwa kero kwa watu. Unafunga kula au unafunga uache dhambi?
Mathayo 6:16-18
16. Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao.
17. Lakini mnapofunga, jipakane mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu
18. Ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu ila baba yenu aliye sirini na Baba yenu aonaye katika siri atawapa thawabu" Akiba ya mbinguni
 
Mkuu,
Unasema hukubali dini, lakini namna ulivyoquote vifungu vya biblia unaonyesha kuikubali.
 
Katika mambo ambao huwa siyakubali ni dini. Dini na ukabila huleta machafuko hata vita pia. Watu wanaoshikiria dini uwezo wao huwa ni mdogo sana wa kufikiria.
Zanzibar ikifika wakati wa Ramadhan inakuwa kero kwa watu. Unafunga kula au unafunga uache dhambi?
Mathayo 6:16-18
16. Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao.
17. Lakini mnapofunga, jipakane mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu
18. Ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu ila baba yenu aliye sirini na Baba yenu aonaye katika siri atawapa thawabu" Akiba ya mbinguni
Wewe na hao waislam hamna tofauti wote mpo ndani ya chumba kimoja cha dini kilicho na milango tofauti.
 
... Uturuki ambao ni Muslims more than 90% mbona hawana haya mambo ya Iran? Huwezi kumtenga au kumfungia binadamu kama mnyama; leo dunia ni kijiji watajifunza elsewhere kuanzia India, Uturuki, n.k ambako wanawake wako huru.
Ukweli ni kwamba, Ukristo unavuta Uislamu, yaani, Christianity way of life is engulfing Islam,huenda miaka ijayo,watu wakakimbia Uislamu kwa wingi,kwa sababu,wanaona Sheria za dini Yao ni kandamizi,
 
... kwa mtazamo wangu sidhani kama ni christianity; bali ni mabadiliko ya kijamii duniani kwa ujumla regardless of any faith.

Most Chinese aren't christians similar to most Indians, Japanese, etc but utangamano wa kijamii bila kuingiliwa na dini ni mkubwa sana; people there regardless of gender are free to live their lives bila sheria za kidini.

Watu wanatembea; wanaona uhuru wa maisha ulivyo kwingineko duniani wakirudi makwao inakuwa Jehanamu social unrests haziepukiki.

Dunia ya leo ni ngumu kuswaga watu kwa sheria zile zile za kidini za miaka 200 iliyopita. Rather watu wanatakiwa wavutiwe na dini na sio walazimishwe na dini.
 
... Uturuki ambao ni Muslims more than 90% mbona hawana haya mambo ya Iran? Huwezi kumtenga au kumfungia binadamu kama mnyama; leo dunia ni kijiji watajifunza elsewhere kuanzia India, Uturuki, n.k ambako wanawake wako huru.
Uturuki iko Ulaya mzee
 
Uturuki iko Ulaya mzee
I think hoja sio location but faith. By the way, umewahi kuisikia Ottoman Empire? Ndio Uturuki ya leo.

Kasome mchango wao kwenye suala zima la dini. They did incredible job but huwezi sikia social unrest za kipuuzi sababu ya dini.
 
... Uturuki ambao ni Muslims more than 90% mbona hawana haya mambo ya Iran? Huwezi kumtenga au kumfungia binadamu kama mnyama; leo dunia ni kijiji watajifunza elsewhere kuanzia India, Uturuki, n.k ambako wanawake wako huru.
Nimesikitika sana kumuua mwanamke kisa nywele. Wapuuzi sana .
 
Chini ya sheria ya Iran, ambayo inatokana na tafsiri ya nchi ya Sharia, wanawake wanalazimika kufunika nywele zao kwa hijabu na kuvaa mavazi marefu yasiyowabana ili kuficha maumbo yao.

Bi Amini inadaiwa alikuwa na baadhi ya nywele zinazoonekana chini ya hijabu yake alipokamatwa na polisi wa maadili mjini Tehran tarehe 13 Septemba.
 
Back
Top Bottom