maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vifo vyazidi kuripotiwa Iran kwenye maandamano ya kupinga mauaji ya mwanamke kisa hakusitiri kichwa

    Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza. Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa.. Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile...
  2. Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  3. J

    Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

    Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
  4. J

    Kenya2022 UTABIRI: Mahakama isipofuta uchaguzi Raila ataitisha maandamano, na ikifuta hatakubali uchaguzi urudiwe

    Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya. Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda kuwa irrelevant kisiasa. Uamuzi wowote utakaotolewa na mahakama tofauti na kumtangaza Odinga mshindi...
  5. Afrika Kusini: Maandamano ya kupinga gharama za maisha yashika kasi

    Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009. Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
  6. Sierra Leone, Rais asema Maandamano ya Jana dhidi ya Serikali ni Ugaidi

    Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
  7. Sierra Leone yatangaza marufuku ya kutotoka nje huku ikikabiliwa na maandamano makubwa

    Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano...
  8. Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  9. Maandamano yaibuka Madagascar Wananchi walia hali ngumu ya maisha

    Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo. Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
  10. N

    Kisa Manara, maandamano makubwa ya wana Yanga Bujumbura

    Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo Jijini Bujumbura wana yanga kindakindaki wameandaa maandamano ya amani kuelekea ubalozi wa Tanzania...
  11. Waziri Mkuu wa Italy ajiuzulu kufuatia maandamano. Mbona hatuoni nyuzi zikianzishwa na CHADEMA kutolea mfano Viongozi wetu kama kule Sri Lanka?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha.. Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee.. Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya...
  12. Kenya2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

    "..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP) Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia...
  13. N

    Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

    jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
  14. Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

    Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha. Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
  15. Je, walioibiwa na kuporwa Juzi wakati wa Maandamano ya Yanga SC wakashtaki kwa nani?

    Nimehudhuria mara nyingi 'Mapokezi' Makubwa ya Simba SC, ila sijawahi kusikia Watu wakiibiwa kama ya Yanga SC juzi.
  16. Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

    Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
  17. UVCCM andaeni maandamano kwenda ofisi za UN , kwakuingilia mambo ya ndani suala la Ngorongoro!

    Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo. Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania. Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na...
  18. Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  19. Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani atangaza kufanya maandamano dhidi ya Serikali

    Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan, Imran Khan ametangaza kuongoza maandamano ya amani ya kudai uchaguzi mkuu ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na Wabunge. Khan amewaomba wasuasi wake wa Chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) na raia wote wa...
  20. Maandamano Sri Lanka: Serikali yatoa madaraka ya dharura kwa Jeshi na Polisi

    Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…