maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

    Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani? Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Maandamano yoyote yatakayofanyika kuanzia sasa, hakuna raia yeyote atakayepigwa hata kibao. Tunza haya maneno

    Jicho lote kwa sasa lipo Tanzania. Maandamano yoyote yatakayofanyika kwa sasa hakuna raia yeyote atakayepigwa hata kibao nahawakikishia kwa hilo. Kama watathubutu kufanya hivyo jua Marekani wataingilia kati . Trump taarifa anayo, mataifa ya ulaya taarifa wanayo, CCM taarifa wanayo, WANANCHI...
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Washitakiwa 114 wafunguliwa kesi ya uhaini Mwanza, kufuatia maandamano Jumla yafikia 320 nchi nzima

    10 November 2025 Mahakama ya Wilaya Ilemela, Mwanza Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=EK5udu5ot38 Jumla ya watu 114 wamefikishwa mbele ya mahakama ya wilaya ya Ilemela Mwanza: Jumla ya watuhumiwa 114 waliokamatwa wilayani Ilemela mkoani Mwanza kati ya Oktoba 28 na 29, 2025 wamefikishwa...
  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Msako wa kudili na waliochochea maandamano sasa umefika ndani ya chama tawala, milio itasikika soon

    Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho. Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio. Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe. Tega sikio…
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

    Friends and Our Enemies, Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante). Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu. Katika...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  8. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Mkiandamana achaneni na kuharibu mali za umma au za watu

    Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration. Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga. KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara. Maandamano kwa watu waliostarabika...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni batili, vijana tusitumike

    Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

    Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto Mawasiliano yalikuwa ya shida kwakuwa mitandao ilikuwa imezimwa na mamlaka zikakosa kujua athari za ueneaji wa...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

    Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo, Ngaramtoni na arumeru. Ntaleta update ya kinachoendelea. Baadhi ya maeneo yenye vurugu wananchi wapewa amri ya kutoka kutoka nje . Madai ya wananchi ni kuhusiana na kupewa miili ya ndugu zao ambayo haijulikani ilipo Hadi Sasa.
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Yaliyofanyika si maandamano ni uharibifu, jaribio la mapinduzi ni tafsiri ya UGAIDI

    Wakuu nimekutana na andiko hili... Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑 Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa shangazi Maria Sarungi: Ni makosa makubwa ya kimkakati kuitisha maandamano mengine hivi karibuni

    Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini. Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
  15. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Maskini: Mimi maandamano yananisaidia nini? Acha raia wapigwe shaba tu!

    Naomba tupate KOMENTS fupifupi juu ya uyu mwamba ambaye ameridhika na umaskini mpaka kufa kwake.
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano endelevu mpaka uhuru

    Kuanzia sasa Gen-Z/Watanzania kwenye kila maandamano au tukio ambalo litawafanya washike Silaha hawatairudisha kwa mamlaka, Silaha zitatumika dhidi ya WanaCCM na wafuasi wao, polisi au mtu yoyote wa Serikali dhalimu atakayekuja kupeleleza hatopewa tena tena ushirikiano, effectively tunaondoa...
  18. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Maandamano au vurugu?

    Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu? Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu? Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au? Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
  19. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira Tugomee Kuhudhuria Mechi za Simba na Yanga kwa Kushindwa Kutoa Pole kwa Wafiwa Kutokana na Maandamano ya Oktoba 2025 ya Kudai Haki

    Katika tukio ambalo limegusa mioyo ya wengi, mashabiki wa soka nchini Tanzania tujipamge kuonyesha mshikamano na majonzi kwa wale waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki yaliyofanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 ambapo familia nyingi zimepoteza wapendwa wao katika mfululizo wa...
  20. Keynez

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yalitokea kabla tu ya maandamano ya kihistoria Tanzania ya MO29

    Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama ungekuwa na jicho la tatu la udadisi. Leo nitatoa list ya mambo kadhaa yaliyotokea kabla tu ya...
Back
Top Bottom