Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.
Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.
Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme...
Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu.
Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29.
Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29?
Mao
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kinje Kingunge Ngombare amesema viongozi wanatoa maonyo kuhusu maandamano je raia nao wakitoa onyo itakuwaje.
Kinje amesema hayo kukemea gabia za wakuu wa wilaya na mikoa ambao huto maonyo kwa raia.
Amesema kama yeye akiwa Rais, mkuu wa wilaya au...
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe)
Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau!
Wote hawawezi...
africa leaders
chadema
east africa (eac)
election fraud
elections
international
international criminal court
internetfreedom
lissu reforms
maandamano
oktoba
oktoba 29
oktoba tunatoka
polepole
samia
tanzaia
tanzania 2050
tundu lissu
tundu lissu chadema
uganda
united nations
Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu.
1. January waende la kwanza.
2. January waende form one.
3. January matokeoa ya 7 yatoke.
4. January matokeo ya F4 yatoke
5. Mkale Xmas Moshi nk
6. Mfungue shule.
7. Muda huu std 4 wako mitihani ya taifa.
8...
Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa,
Wahuni wasifikiri sisi tutaenda kuremba remba, tutakula nao sahani moja jiwe kwa jiwe mpaka mabadiliko.
Hakuna uchaguzi utakao fanyika
Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani.
Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji...
Watawala ni muda kubadilika wenye mamlaka ya Mwisho ni Umma nguvu ya Umma haijawai kushindwa na Chochote Amiri Jeshi Mkuu Uwa anakimbia kupitia mlango wa Nyuma naomba watawala badilikeni Muda hauko Upende wenu jitafakari sana kitendo cha Nyie kuimba maadamno kuanzia Rais mpaka viongozi wote ni...
Nimeeleza kwenye moja ya mada za Britannica namna vyombo vya usalama vinavyofuatilia na kuteka watu wasipatikane kwa muda au hadi uchaguzi utakapokamilika. Mimi soma profile yangu nipo kama mchambuzi fulani hivi lakini baada ya kuona mambo fulani hivi imebidi niingie in details kuongea na Gen Z...
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo...
dharau
genge
jeshi
jeshi la uganda
jwtz
kikosi
kitendo
kudhibiti
maandamanomaandamano oktoba 2025
maandamano tanzania
samia
uganda
updf
wanajeshi
wengi
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard
Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo
Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano
Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM
Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha mjadala na hamasa za maandamano
Kwamba vijana na Mashabiki wa Yanga watumie muda huu wa dhahabu...
Dunia nzima inaitazama Tanzania
Majirani zetu Kenya wanatutazama
Tayari walishaatuonesha njia
Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka
Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana.
mchana mwema!
KIMEDANI; WIKI HII NDIO INGEKUWA WIKI MUHIMU YA MASHAMBULIZI MAKALI KWA WALIOPANGA MAANDAMANO. ZILE SUPER SUB HII NDIO INGEKUWA WIKI YAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kwenye mapambano yoyote silaha na ujuzi ni muhimu lakini kama utashindwa kujua wakati sahihi wa kumshambulia adui basi...
Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.
Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua...
Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania. Wananchi wa mkoa huu wana umasikini usioelezeka.
Mikoa ya Geita, Katavi, Songwe na Singida ndo mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.