Lakini walipoteza maisha.
...1....
Alikuwa ni Daktari akajeruhiwa na risasi...akapata matibabu muhimbili...SIku ya 3 akafariki...nduguze walipofuata mwili...hawakupewa.
..2...Alikuwa mama wa nyumbani wa watoto wa 3...alikuwa anatoka gengeni...akapatwa na risasi na kufariki papo hapo...
Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
Hapo vip!!
Kama kuna ukweli juu ya hili basi kutakuwa upunguvu wa watu wenye akili na wanaoweza kufikiri sawa sawa.
Kama kuna propaganda zinazoandaliwa eti kwa lengo la kuhusisha kenya au kuichafua kenye yakwamba wanahusika na haya maandamano
Basi tukubalianane na haya.
1.Nchi yetu haipo salama...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.
Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi.
Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu
Dawa ya moto ni moto ni ngumu kwa vyama tawala vikongwe Afrika kuondoka madarakani eti kwa maandamano na kelele za mitaani bali kwa mtutu wa bunduki na hujuma dhidi yao.
Huwezi ukapambana na mafisadi wachache wenye nguvu na kumiliki jeshi kwa mawe wao wakiwa na bunduki mtakwisha!
Ni bora sasa...
Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa...
Hello guys!
Asanteni wote mlioniulizia kwa nia njema ya kutaka kujua kama nipo mzima. Ni upendo mkubwa mmenionyesha familia yangu 😭
Pongezi kwa wote mliotoka na kurudi salama, kwa ndugu zetu mliopoteza maisha ROHO ZENU ZIPUMZIKE MAHALI PEMA.🕊️ Nyie ni mashujaa wetu 💪🫡
Tanzania haitowasahau...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao.
Za kuambiwa changanya na za kwako
Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 yanahuzunisha sana na yamenifanya niamini kuwa jeshi la polisi Tanzania linafanya kazi kitutusa sana...
Hakuna kificho wa pingamizi kuwa uchaguzi haukufanyika.
Samia alipachikwa na maafisa wa juu wa Jeshi, kwa maana nyingine Jeshi lilifanya Coup D'etat na kumuweka Samia, sasa watakuwa na ushawishi mkubwa kuliko wakati wowote.
Jambo la pili waandamanaji wamefanikiwa kuivunja CCM Na kujenga chuki...
MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu.
2. Saa moja unusu nilikuwa nje kijiwe ninapokaaga siku ya jumapili(offday) lakini siku hiyo ya jumatano...
Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi.
Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔
MAY THEY REST WELL!
Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na kwakufarijiana, tutafika.😔
Kila nikiingia online nakutana na videos mpya za watu waliouwawa, ama...
Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha.
Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu.
TAARIFA MUHIMU.
Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
Waliouawa ni watu, wanastahili heshima. Kama Taifa tukubali makosa, bendera ipepee nusu mlingoti kuenzi ndugu zetu.
Wapo wanaojustfy vifo vya hawa ndugu zetu. Wengine wakisema walikuwa vibaka nk. Niwakumbushe, Morogoro watu walienda kuchukua mafuta na tulihuzunika pamoja bila kujali...
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana.
1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji hiyo mpaka nimeihamu.
2. Wakina baba ni wapishi wazuri sana tatizo la kujua vipaji vyao ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.